Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

For the first time hisa ya Crdb inatrade kwa bei ya 1000 na hakuna wauzaji mpaka muda huu
IMG_0306.png
 
Upande wa hisa Mtanzania 10% Mgeni30%

Upande wa real estate Nyumba/plot ni 10% au 3% ya faida kama usipokumbuka bei ya kununulia ila Mgeni ni 20% ya faida.
Hapana mkuu kuhusiana na Capital Gain kwa kampuni zilizoorodheshwa Dar es sallaam stock exchange hakuna tax unless unauza 25% ya hisa za kampuni ndio unakatwa tax
 
Hiyo tax utakayokatwa kwa kuzingatia kigezo cha exemptions ni asilimia ngapi?
 
Ni 25% na kwa current shareholding structure ya Crdb, mwenye shares nyng ni Danida Investment Fund mwenye 548M shares ambayo ni sawa na 21% …so hata yy akiamua kuuza hisa zote bado hajameet 25% ya Capital Gain tax
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. Nb kila hisa nimenunua kwa 660.
Mwaka jana CRDB wametoa gawio la shs 65 kwa kila hisa. Hivyo, tukichukulia trend kuwa haitabadilika, hiyo ni sawa na asilimia kama kumi ya uwekezaji wako.

Vile vile, mwaka jana, bei ya hisa Jan ilikuwa shs 840.00, na mwisho wa December 2024, ilipanda mpaka sh 875.00, ongezeko la shs 35.

Hivyo, kama hali itakuwa hivi hivi mwaka huu, unategemea kupata jumla ya shs 100 kwa kila share kama utaiuza. Sasa wewe fikiria kama inalipa mtaji wa shs 660 zikuingizie shs 100 kwa mwaka.
 
Brother gawio la sh 65 wametoa mwaka huu June
 
Ni 25% na kwa current shareholding structure ya Crdb, mwenye shares nyng ni Danida Investment Fund mwenye 548M shares ambayo ni sawa na 21% …so hata yy akiamua kuuza hisa zote bado hajameet 25% ya Capital Gain tax
Mkuu sijauliza hivyo - nimeuliza huyo aliye meet requirements inatakiwa alipe asilimia ngapi?
 
Ukisoma hapo vizuri utaona nimekujib mkuu capital gain tax ni 25% kama unamiliki 25% and above ya hisa za kampuni husika zilizopo Dse
 
Ngoja nikusaidie kuelewa;

Tanzania, ukiuza hisa zako kwenye kampuni iliyoorodheshwa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE), hutozwi Capital Gains Tax (CGT) ikiwa unauza chini ya asilimia 25 (25%) ya jumla ya hisa za kampuni hiyo.

Lakini ukivuka hiyo 25%, yaani ukauza robo au zaidi ya hisa za kampuni hiyo unatozwa kodi na Hapo ndipo Capital Gains Tax aliyouliza Kiranga kuwa ni asilimia ngapi? inaanza kufanya kazi:

Mtanzania: 10% ya faida uliyopata.
Mgeni (non-resident): 20% ya faida.

🏢 Kampuni: 30% kama kodi ya mapato.

Tukumbuke CRDB ni kampuni ya umma kwenye DSE, na wawekezaji wengi wana hisa ndogo ndogo hivyo kwao CGT haitumiki mpaka mtu au taasisi iuze 25% au zaidi ya hisa za kampuni nzima.
Kwa sasa, kama mtu ana CRDB shares chini ya 25%, anafurahia faida na gawio bila Capital Gains Tax.
 
Yes hii umeiweka vizuri zaidi👍🏽
 
Thanks.

This is still very generous.
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia. Nb kila hisa nimenunua kwa 660.
Dah Kuna watu mna Hela sana
 
Huyu mwamba alinunua kwa TZS.660 saa hii ni TZS.1000 maana yake akiuza leo anapata faida 440 kwa kila hisa bila kuhesabu gawio alilopata.
 
Jamaa Gani tena wakati ni wewe ndio ulisema umenunua hizo hisa Kwa 660 inamaana ushajisahau ukiwa muongo tunza kumbukumbu unatuchezesha shere
Ndio nimeamua kujivua u Mimi thus nimeandika Jamaa. Kuna shida kiongozi 😂😂😂
 
Wakuu, Maisha bila kujilipua hayaendi. Kifupi kama unanifuatilia nilijichanga UTT AMIS na kuweza kupata kiasi cha 60ml sasa nimetoa hiyo hela yote na kununua hisa za CRDB. Kifupi, liwalo na liwe nikipata sawa na nikikosa sawa. Mungu jaalia. Nitaleta mrejesho baada ya Mwaka kupitia.

NB: Kila hisa nimenunua kwa 660.
Unakaribia kutimiza mwaka moja sasa. Hope unaendelea vizuri.
 
Back
Top Bottom