hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Naam ndio kuweka mayai mengi katika kapu Moja hukoLets keep it simple wala siongelei shares pekee katika kuweka pesa zako zote naongelea industries tofauti na unafanya hivyo kwanini ? Shit bounds to happen sasa kama umewekeza kwenye industry moja industry hio ikienda belly up umetoka kwenye reli...... kwahio hio haina ukasi wa dunia wala nini ni common sense to hedge your risks.....