Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Mi haya mambo sijui utt sijui hisa huwa naona ni kupoteza hela tu. Ukifanya biashara sawa una risk nyingi kuliko kuwekeza ola jua hata wanaowawekezea hela wanapata wapi hela ya kukulipa kidogo kila mwaka, nao huzifsnyia biashara, ili wakulipe lazima wao wapate fsida yao na wewe humohumo, hufika mahali hata wao wakala hasara, na hasara hiyo wakiipata na wewe unajumuidhwa humohumo, so mimi haya mavitu huwa siyaelewi ningekuwa wewe ningejenga appartment 6 na hiyo hela