Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

Screenshot_20230403-142806.png

Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597

Kalale Naona una stress za bei ya sembe na mchele
 
But man,

At least he showed us how the country can be governed...

Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.

Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
 
https://jamii.app/JFUserGuide off with your petty things. Here we are discussing serious issues.
 
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.

Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Kwahiyo unataka kusema na Daraja la Busisi, JNHP, Dodoma City ni WB, DMP, na hiyo DMP ndio ime extend kila mkoa na kila wilaya ndugu mjanja?
Au ni hate agenda.
 
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!

View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.

Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??

Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.
 
Kalale Naona una stress za bei ya sembe na mchele
Kwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi Sasa
..watu hawatekwi tena,
..watu hawaporwi tena,
...watu hawapigwi risasi tena,
..atu hawaokotwi kwenye viroba tena.

Hata kama tutanunua kilo moja ya sembe kwa laki moja kama hayo maovu niliyoyataja hapo juu hayapo kwangu mm haina shida.
 
Pointless, kwani wewe ulitekwa na Magufuli?
 
Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.
Kama ben saa nane angekuwa ndugu yako usingeandika haya. Ubinafsi na ujima kama marehem muuaji vinakusumbua. Ila roho yako inakuhukum kuwa kuua kwa vile ni kubaya!
Bora lingekausha hazina lakin watu wakabaki na uhai wao.
"..injustice for one is injustice for all"
 
Back
Top Bottom