Kalale Naona una stress za bei ya sembe na mcheleUkisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.But man,
At least he showed us how the country can be governed...
Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Huyu Mwamba kateswa na Wazungu, Magufuli alikuwa anatesa Watanzania wenzake. legacy Lumumba imeandikwa mpka mbinguni.Historia ya mwamba huyu alivyoteswa inauma sana
https://jamii.app/JFUserGuide off with your petty things. Here we are discussing serious issues.But man,
At least he showed us how the country can be governed...
Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Kwahiyo unataka kusema na Daraja la Busisi, JNHP, Dodoma City ni WB, DMP, na hiyo DMP ndio ime extend kila mkoa na kila wilaya ndugu mjanja?World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.
Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Sasa nani ana disscuss petty hapa na homophobia yako... full time hating the graveyard won't make things better.JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off with your petty things. Here we are discussing serious issues.
Kwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi SasaKalale Naona una stress za bei ya sembe na mchele
Pointless, kwani wewe ulitekwa na Magufuli?Kwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi Sasa
..watu hawatekwi tena,
..watu hawaporwi tena,
...watu hawapigwi risasi tena,
..atu hawaokotwi kwenye viroba tena.
Hata kama tutanunua kilo moja ya sembe kwa laki moja kama hayo maovu niliyoyataja hapo juu hayapo kwangu mm haina shida.
Hawa tofautiani sana na Mwamba Mwendazake! Wote Wana wa Africa tena Wazalendo wa kweli kweli!!!Historia ya mwamba huyu alivyoteswa inauma sana
Ben Saanane kuhoji PhD ya maganda ya Korosho naye alikuwa na cheti fake?Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.
Mwendazake aliteswa na nani?Hawa tofautiani sana na Mwamba Mwendazake! Wote Wana wa Africa tena Wazalendo wa kweli kweli!!!
Muulize Mbowe!!Ben Saanane kuhoji PhD ya maganda ya Korosho naye alikuwa na cheti fake?
Kumbe Magufuli ndiyo alikuwa mtekaji? Maana mm sijataja.jina la mtu kwenye uzi wangu.Pointless, kwani wewe ulitekwa na Magufuli?
Wewe usimfananishe Lumumba na takataka.Hawa tofautiani sana na Mwamba Mwendazake! Wote Wana wa Africa tena Wazalendo wa kweli kweli!!!
Kama ben saa nane angekuwa ndugu yako usingeandika haya. Ubinafsi na ujima kama marehem muuaji vinakusumbua. Ila roho yako inakuhukum kuwa kuua kwa vile ni kubaya!Unafikiri utatutoa ili tusimwamini JPM, Chuma aka Mwamba. Nakushauri achana na mtu wetu tuliyemshimu sana. Aibu iliyokupata kwa kuwa na cheti feki inakusumbua.