Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,180
Reaction score
2,302
Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa.

Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko Maaskofu.

Nawasilisha kwenu wataalamu.

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nch.jpg

Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa.

Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko Maaskofu.

Nawasilisha kwenu wataalamu
Siwalaumu ni ujinga wa serikali.
20251112_185453.jpg
 
Wagawane majukumu tu, BAKWATA wao wasisitize amani kwanza na maaskofu wasisitize haki kama msingi wa amani ya kudumu.
Hata hivyo ni vyema BAKWATA wakaambiwa wanakosea kushambulia maaskofu wa katoliki wanaposisitiza haki kama msingi amani kwani maaskofu wao hawashambulii masheikh wanaposisitiza amani zaidi kuliko haki.
 
Wagawane majukumu tu, BAKWATA wao wasisitize amani kwanza na maaskofu wasisitize haki kama msingi wa amani ya kudumu.
Tatizo wanaosisitiza Amani wanasema Serikali wapo sawa na wale wanaosema haki kwanza wanawalaumu serikali haiwatendei watu wake haki kwa kusingizia Amani
 
Tatizo wanaosisitiza Amani wanasema Serikali wapo sawa na wale wanaosema haki kwanza wanawalaumu serikali haiwatendei watu wake haki kwa kusingizia Amani
Kwani BAKWATA au masheikh ni sehemu ya serikali hadi wawe wanajitokeza mstari wa mbele kujibu maaskofu wanaodai utawala wa haki? Waiache serikali yenyewe ndio ijibu hoja za maaskofu katoliki kudai haki katika nchi.
 
Masheikh wanamjua zaidi Yesu kuliko Maaskofu sababu wanasema Yesu alikua Muislamu mwenzao hivyo wanatuambia Yesu alisisitiza Amani na si haki
 
My Muslim brothers, BAKWATA wanafanya wote muonekane nonsense... anzisheni long term plan ya kuua hilo tawi. Dini ibaki ijitegemee na matawi yale yaliyopo kwenye maandiko yenu
 
Kwani hujui siku zote
Wagawane majukumu tu, BAKWATA wao wasisitize amani kwanza na maaskofu wasisitize haki kama msingi wa amani ya kudumu.
Hata hivyo ni vyema BAKWATA wakaambiwa wanakosea kushambulia maaskofu wa katoliki wanaposisitiza haki kama msingi amani kwani maaskofu wao hawashambulii masheikh wanaposisitiza amani zaidi kuliko haki.
Vilaza wao ni kushindana na sio kujifunza
 
Wagawane majukumu tu, BAKWATA wao wasisitize amani kwanza na maaskofu wasisitize haki kama msingi wa amani ya kudumu.
Hata hivyo ni vyema BAKWATA wakaambiwa wanakosea kushambulia maaskofu wa katoliki wanaposisitiza haki kama msingi amani kwani maaskofu wao hawashambulii masheikh wanaposisitiza amani zaidi kuliko haki.
Nimejiskia vibaya sana kama muislam kwa waliyofanya bakwata asee
 
My Muslim brothers, BAKWATA wanafanya wote muonekane nonsense... anzisheni long term plan ya kuua hilo tawi. Dini ibaki ijitegemee na matawi yale yaliyopo kwenye maandiko yenu
Are you serious!
Unataka 'mashehe ubwabwa' wafe na njaa?
 
Wanatia aibu hawa ila wakumbuke kuna barzaqh na yaumu ddiiin
 
Pale KKKT ukitaka kuwa Mchungaji sharti la kwanza uwe na wito. Pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 au 2. Then uende Chuo Kikuu Makumira au chuo kingine kinachotambuliwa na Kanisa ukasomee shahada ya Theolojia kwa miaka mitano (Bachelor degree in Theology).

Yani unatoka form six na one yako kali unaenda kukaa miaka mitano chuo kikuu kama unasomea udaktari. Ukimaliza unaitwa Mtheolojia. Kisha unaenda mwaka mmoja wa mazoezi (internship). Baadae unaweka nadhiri ya maisha ya kumtumikia Mungu. Kisha unabarikiwa (ordained) kuwa Mchungaji.

Kwahiyo popote unapomuona Mchungaji wa KKKT ujue amepitia njia hizo. Kumbuka wapo wachungaji wa zamani waliosoma Diploma wanaphase out kulingana na taratibu za kila dayosisi.

Kwa wenzetu wa RC ili uwe Padre, kwanza kabisa uwe na wito, pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 (hakuna Padre mwenye division 2). Ukimaliza uende malezi miaka miwili (Novisi). Huko unaweka nadhiri za muda (temporary vows) za kumtumikia Mungu.

Ukimaliza unaenda kusomea shahada ya kwanza ya Falsafa miaka minne (Bachelor degree in Philosophy). Ukimaliza hapo unakuwa Frateri. Unapewa muda wa kujitafakari kama bado una wito ama lah. Kama bado wito upo unaweka nadhiri za kudumu (perpetual vows).

Baada ya hapo unaenda tena kusoma miaka mitano shahada ya theolojia (Bachelor degree in Theology). Ukimaliza hapo unakuwa Shemasi. Kisha unaingia kwenye muda wa matazamio, then Kanisa likijiridhisha ndipo unapewa daraja takatifu la Upadre (ordained).

Ukishakuwa Padre Kanisa linaweza kukutuma kusomea taaluma nyingine ya kutimiza utume wako. So unaweza kutumwa IFM ukasomee Finance utumike kwenye benki za kanisa. Au ukatumwa UDSM kusomea Education utumike kwenye shule za kanisa, au ukaambiwa uende SAUT kusomea Mass Comm ili utumike kwenye media za kanisa.

Kwahiyo ukimuona Padre yeyote ujue ana degree 2 au zaidi. Na ujue form six alipata division 1, na baada ya form six alisoma miaka 9 hadi 12 kupata Upadre. Kwahiyo hakuna Padre mwenye elimu mbalimbali 😂. Ndio maana ukisikia TEC imetoa tamko usikurupuke kujibu. That is the Conclave of Intellectuals.

☝️☝️Nimeiforward kutoka inbox
 
Bakwata hawakuwa nchini wakati wa maandamano msiwalaumu, walikuwa mecca.
 
Upande wa pili uvumilivu umewashinfa mmeanza kuonyesha rangi zenu halisi!
 
Back
Top Bottom