Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Falsafa ya madrasa! BAKWATA hata Sheikh Ponda amewakataa! Hanaga akili wale, ni tawi la ccmHata Sheikh Mkuu ni Daktari wa Falsafa kiongozi
Falsafa ya madrasa! BAKWATA hata Sheikh Ponda amewakataa! Hanaga akili wale, ni tawi la ccmHata Sheikh Mkuu ni Daktari wa Falsafa kiongozi
Unatutangazia amani huku umetushikia bunduki?Wagawane majukumu tu, BAKWATA wao wasisitize amani kwanza na maaskofu wasisitize haki kama msingi wa amani ya kudumu.
Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!Baada ya hapo unaenda tena kusoma miaka mitano shahada ya theolojia (Bachelor degree in Theology). Ukimaliza hapo unakuwa Shemasi. Kisha unaingia kwenye muda wa matazamio, then Kanisa likijiridhisha ndipo unapewa daraja takatifu la Upadre (ordained).
Mimi mawazo yangu ni Tanzania kusiwe na dini kabisa. Kila mtu apambane na mzimu wa kwao. Maana hizi dini zote tumeletewa na waliozileta ndiyo walitaka tufike hapa tulipofikia.My Muslim brothers, BAKWATA wanafanya wote muonekane nonsense... anzisheni long term plan ya kuua hilo tawi. Dini ibaki ijitegemee na matawi yale yaliyopo kwenye maandiko yenu
Siyo lugha gongana, kwani huwajui hao wanaopewaga vitu vya bure na serikali wanasemaga nini? Angalau kiwango cha elimu na utambuzi. Ni sawa na kumfanisha Mrisho Mpoto na Lissu au na Luhaga Mpina. Wanachojua hao ni kufuga ndevu na kuosha Mataku tu hao wavaa kobazi.Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa.
Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu nimesikia mara nyingi wakisema Yesu alikua Muislamu mwenzao labda wanayajua zaidi mafundisho ya Yesu kuliko Maaskofu.
Nawasilisha kwenu wataalamu.
View attachment 3501738View attachment 3501739
View attachment 3501740
Kwani PhD ina maajabu gani ? Mbona hamuweki hoja.Sasa unalinganisha PhD na madrasa
TYK.Asante kwa kunipa elimu sikufanya research vizuri.Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!
Kwa kawaida inategemea na jimbo na nchi Padre anakotoka. Mapadre wa Shirika la Ma Jesuit unatakiwa kuwa na Masters Degree kabla ya kuwa padre. Ni jambo la kawaida kwa Wajesuiti kuwa na angalau shahada mbili za uzamili katika theolojia na Shahada ya Uzamili au Uzamivu katika fani nyingine hasa kwa wale wanaofundisha katika ngazi ya chuo.Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!