Ukisikia Lugha Gongana ndiyo hii. Maasofu wanasema lao na Masheikh wa BAKWATA wanasema lao

Baada ya hapo unaenda tena kusoma miaka mitano shahada ya theolojia (Bachelor degree in Theology). Ukimaliza hapo unakuwa Shemasi. Kisha unaingia kwenye muda wa matazamio, then Kanisa likijiridhisha ndipo unapewa daraja takatifu la Upadre (ordained).
Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!
 
My Muslim brothers, BAKWATA wanafanya wote muonekane nonsense... anzisheni long term plan ya kuua hilo tawi. Dini ibaki ijitegemee na matawi yale yaliyopo kwenye maandiko yenu
Mimi mawazo yangu ni Tanzania kusiwe na dini kabisa. Kila mtu apambane na mzimu wa kwao. Maana hizi dini zote tumeletewa na waliozileta ndiyo walitaka tufike hapa tulipofikia.
 
Maaskofi nilikuwaga siwaelewi aisee jamaa shule zipo kichwani njoo kwa NDUG ZANGU sasa
 
Siyo lugha gongana, kwani huwajui hao wanaopewaga vitu vya bure na serikali wanasemaga nini? Angalau kiwango cha elimu na utambuzi. Ni sawa na kumfanisha Mrisho Mpoto na Lissu au na Luhaga Mpina. Wanachojua hao ni kufuga ndevu na kuosha Mataku tu hao wavaa kobazi.
 
Bakwata ni Tawi alianzisha Nyerere upumbavu mtupu
 
TEC huwezi kufananisha na Bakwata iliyoanzishwa na Nyerere
 
Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!
TYK.Asante kwa kunipa elimu sikufanya research vizuri.
 
Hapa mkuu siku hizi ni miaka mitatu, then unaenda mwaka mmoja wa kichungaji. Ukimaliza hapo mwaka wa kichungaji unaenda unakaa miezi 6 kwenye daraja ya Ushemasi ndiposa unapadrishwa!
Kwa kawaida inategemea na jimbo na nchi Padre anakotoka. Mapadre wa Shirika la Ma Jesuit unatakiwa kuwa na Masters Degree kabla ya kuwa padre. Ni jambo la kawaida kwa Wajesuiti kuwa na angalau shahada mbili za uzamili katika theolojia na Shahada ya Uzamili au Uzamivu katika fani nyingine hasa kwa wale wanaofundisha katika ngazi ya chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…