Ukisikia Peoples Power ndio Hii

Mudaa utaongea ,tusipoandama cc hata wajukuu zako watafika mahali watachoka wataitoa CCM madarakan..
 
SIo ile ya CHADEMA ikiongozwa na Maria Sarungi wakiwa Twitter kazi yao ni kurusha matusi tu. Kwa hali kama hii Lazima kielewea tutarajie lolote kutoka Korea muda mchache ujao.

View attachment 3169169
Mnataka kina Maria Sarungi wakafe peke yao barabarani nyie mkipigania Simba na yanga pamoja nakujadili ushenzi wa kina Diamond huku mkipigania kuchakata nyuchi? Wapumbavu sana nyie matanganyika!
 
Kwani Maria Sarungi anaishi wapi?
Kelele zake ni nyingi Kule X but sijawahi kumuonea Frontline akipigana kama kina Lissu, na Mr Miwani
 
Kwani Maria Sarungi anaishi wapi?
Kelele zake ni nyingi Kule X but sijawahi kumuonea Frontline akipigana kama kina Lissu, na Mr Miwani
Si naskia yupo kenya huyu dada?
 
Kwani Maria Sarungi anaishi wapi?
Kelele zake ni nyingi Kule X but sijawahi kumuonea Frontline akipigana kama kina Lissu, na Mr Miwani

halafu mwenyewe huwa anajiona fighter sana, wakati hatujawahi kumuona live kwenye hata mkutano hadhara
 
halafu mwenyewe huwa anajiona fighter sana, wakati hatujawahi kumuona live kwenye hata mkutano hadhara
Yeye kaamua kupambania X kule - wewe nenda front physically - kama huwezi piga kimya mzee.Tusiwapangue watu namna ya kuendesha harakati zao.
Unalalamika kabisa mwanamke aende mbele akapambane kwa niaba yako na vizazi vyako. Huna aibu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…