Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakulaumu sio CHADEMA bali ni Watanzania, wameridhika na kunywa Kahawa na Kashata na Simba na Yanga na Ngono, Chadema kila ikiwaita waandamane hawatokei.SIo ile ya CHADEMA ikiongozwa na Maria
Mnataka kina Maria Sarungi wakafe peke yao barabarani nyie mkipigania Simba na yanga pamoja nakujadili ushenzi wa kina Diamond huku mkipigania kuchakata nyuchi? Wapumbavu sana nyie matanganyika!SIo ile ya CHADEMA ikiongozwa na Maria Sarungi wakiwa Twitter kazi yao ni kurusha matusi tu. Kwa hali kama hii Lazima kielewea tutarajie lolote kutoka Korea muda mchache ujao.
View attachment 3169169
Si naskia yupo kenya huyu dada?Kwani Maria Sarungi anaishi wapi?
Kelele zake ni nyingi Kule X but sijawahi kumuonea Frontline akipigana kama kina Lissu, na Mr Miwani
Kwani Maria Sarungi anaishi wapi?
Kelele zake ni nyingi Kule X but sijawahi kumuonea Frontline akipigana kama kina Lissu, na Mr Miwani
Yeye kaamua kupambania X kule - wewe nenda front physically - kama huwezi piga kimya mzee.Tusiwapangue watu namna ya kuendesha harakati zao.halafu mwenyewe huwa anajiona fighter sana, wakati hatujawahi kumuona live kwenye hata mkutano hadhara