Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa Iran waliweka zuio lao sasa Marekani wameweka zuio juu ya zuio Iran hafanyi biashara yoyote sasa hivi!!!
Alikuwa amekataa mazungumzo sasa hivi kaenda mwenyewe huko Islamabad!!!
Mkubwa ni Mkubwa tu ukileta mchezo unaliwa kichwa!!!
View: https://vt.tiktok.com/ZS92HM6qy/