figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia je yaliyomo yamo? Nmegundua yanayo ongelewa na vitendo wanavyo fanya ni vitu viwili tofauti. Mtu unamwambia kata kiuno anakujibu "nimechoka", ukimwambia fanya hivi anakujibu "staki". Nani aliwambieni mapenzi yanataka ubabe? Mnayo yaongea humu muwe mnayaapply mnapokuwa na wapenzi wenu. ni hayo tu. Mia
Tunaomba ushuhuda.. Wewe kama lawyer mzoefu aliyosema mzee wa mia yana ukweli?hehehe mia
Lol.... Eiyer!!!Labda inawezekana!Mpaka mtu kasema ana lake!Sasa mtu unashughulika mwenzio anakuambia "fanya fasta nataka nikachangie kwenye siredi yangu JF" unafikiri utajisikiaje?
Lol.... Eiyer!!!
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia je yaliyomo yamo? Nmegundua yanayo ongelewa na vitendo wanavyo fanya ni vitu viwili tofauti. Mtu unamwambia kata kiuno anakujibu "nimechoka", ukimwambia fanya hivi anakujibu "staki". Nani aliwambieni mapenzi yanataka ubabe? Mnayo yaongea humu muwe mnayaapply mnapokuwa na wapenzi wenu. ni hayo tu. Mia
Watu wengine mna matatizo kweli...
Tunaomba ushuhuda.. Wewe kama lawyer mzoefu aliyosema mzee wa mia yana ukweli?
Hiyo sample yako moja uliyoiokoteza gizani ndio umetujumuisha wote??? Hebu njoo kona nikuonyeshe,halafu urudi hapa usawazishe usemi wako.
Umewafanyia majaribio au utafiti wangapi?. Wahusika watakuja kujibu.