figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia je yaliyomo yamo? Nmegundua yanayo ongelewa na vitendo wanavyo fanya ni vitu viwili tofauti. Mtu unamwambia kata kiuno anakujibu "nimechoka", ukimwambia fanya hivi anakujibu "staki". Nani aliwambieni mapenzi yanataka ubabe? Mnayo yaongea humu muwe mnayaapply mnapokuwa na wapenzi wenu. ni hayo tu. Mia