Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,625
Reaction score
89,385
Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.

Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.

Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.

Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.

Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.

Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅

Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.

View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm
 
Profesa, mara moto mara baridi. Awe na msimamo.

Huko nyuma, Lissu alishawahi kusema hajawahi kuona profesa muongo kama profesa Muhongo.

Hata mimi simuamini huyu bwana. Bora abaki huko huko kama mtoa maoni au ushauri. Alinidisapoint sana alipopewa Uwaziri.
 
Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.

Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.

Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.

Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.

Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.

Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅

Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.

View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm

Prof.Muhongo anaweza sana kueleza na kuchambua mambo muhimu vizuri sana kinadharia, ila kuyaweka kwenye vitendo hua ni changamoto mno kwa prof.huyo muhimu sana wa giologia na uchumi :NoGodNo:
 
Kipindi Cha jpm alikuwa waziri wa nishati na madini na wazawa wakiomba kuwekeza anaanza kuwakejeli.mfano Dr reginad mengi alitaka kuwekeza kwenye gesu lakini huyu profesa muongo akawa anamkejeli Mengi na kumnyima kibali.Muhongo ni hasara Kwa taifa japo Kwa Sasa anajifanya kuchangia hoja zenye mashiko
 
Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.
Uongozi mbovu na fikra finyu miongoni mwa wananchi kwamba wizi ndio njia pekee ya kufikia maisha mazuri. Uvivu wa kufanya kazi na uvivu wa fikra ndo vitu vimetawala akili za baadhi ya wananchi.
Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.
Ni kweli. Kweli tupu. Wanapenda kujisifia kwa vyeti wakidhani vyeti ndo hutenda kazi. Teua mtu yeyote leo, humu JF watauliza vyeti badala ya CV.
Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu
Ni kweli ila maneno matupu hayatasaidia. Ni lazima tubadilike kwa kuanza mimi na wewe na sio kulalamika tu.
Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa
Ni kweli. Hujakosea. Tujirekebishe.
 
Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.

Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.

Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.

Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.

Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.

Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅

Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.

View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm

GDP ya USD 1 trillion by 2050 is an uphill battle. Nadhani hii target ni furahisha genge tu. To get there, our economy must grow by more than 10% annually for 25 years. This is almost a mission impossible!
 
Serikali iliyopo madarakani haipo kwaajili ya interest za Taifa na wananchi kama Kuna watu wanawaza tofauti na Hilo pole Yao sana ,
 
"If political governance is ineffective, no sector can succeed.”

Hata akiwekwa malaika Gabriel huko wizarani, Tukaendelea na siasa hizi za maji taka, Hakuna kitakacho badirika.

Tusipo amua kuzitafakari siasa zetu, Basi tuendapo ni kugumu kuliko Tulipo.
 
Prof Ukitoa mambo yake ya Ki CCM. Ni makini wa ubora sana katika Moja ya mawazo na project yake aliyo iimplement kwa matokeo mazuri ni ule mpango wa Tariffs za Umeme, pale alicheza sana.
 
Back
Top Bottom