Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.

Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.

Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.

Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.

Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.

Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅

Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.

View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm

Fact..
 
Ccm imemeza taasisi zote hadi bongo zao!
Unaona mtu anapewa wizara,in two months anahamishia timu yake yote ya upigaji karibu yake,CCM kama chama hamna kitu,ni walio madarakani wanaamua kipi cha kufanya,taasisi ni jina tu!

Ukibweka,unatishwa,unarushiwa mfupa,kimyaaa!
 
Back
Top Bottom