😂😂😂Lisu kama Lisu ....kipindi icho prof alikuwa anakula vizuri nishati na madini uongo ndo ulimbebaProfesa, mara moto mara baridi. Awe na msimamo.
Huko nyuma, Lissu alishawahi kusema hajawahi kuona profesa muongo kama profesa Muhongo.
Profesa, mara moto mara baridi. Awe na msimamo.
Huko nyuma, Lissu alishawahi kusema hajawahi kuona profesa muongo kama profesa Muhongo.
Prof.Muhongo anaweza sana kueleza na kuchambua mambo muhimu vizuri sana kinadharia, ila kuyaweka kwenye vitendo hua ni changamoto mno kwa prof.huyo muhimu sana wa giologia na uchumiUsimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.
Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.
Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.
Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.
Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.
Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅
Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.
View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm
Uongozi mbovu na fikra finyu miongoni mwa wananchi kwamba wizi ndio njia pekee ya kufikia maisha mazuri. Uvivu wa kufanya kazi na uvivu wa fikra ndo vitu vimetawala akili za baadhi ya wananchi.Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.
Ni kweli. Kweli tupu. Wanapenda kujisifia kwa vyeti wakidhani vyeti ndo hutenda kazi. Teua mtu yeyote leo, humu JF watauliza vyeti badala ya CV.Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.
Ni kweli ila maneno matupu hayatasaidia. Ni lazima tubadilike kwa kuanza mimi na wewe na sio kulalamika tu.Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu
Ni kweli. Hujakosea. Tujirekebishe.Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa
GDP ya USD 1 trillion by 2050 is an uphill battle. Nadhani hii target ni furahisha genge tu. To get there, our economy must grow by more than 10% annually for 25 years. This is almost a mission impossible!Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.
Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu wakuweza kujitawala katika nyanja zote, bado uongozi umekuwa butu haswa katika kuchukua hatua ambazo zinamanufaa ya nchi!.
Kutafunwa kwa rasilimali.
Hata zile rasilimali chache ambazo tumeweza kuziendesha ama kuruhusu kuzichimba imekuwa haina msaada ama ni msaada dhaifu sivyo kama inavyotakikana!, hivyo naweza kusema nchi inasonsomorwa sio chini sio juu wala katikati yani ni inaliwa haswa!.
Tuna wataalamu wajinga,ama wapenda rushwa au dhaifu!.
yani ni sawa na kumpa dereva wa gari aendeshe Boeing 373.
Humu hakuna uwajibikaji,humu kuna wanaofanya maovu huku wakijua maovu yoa ila tamaa ya pesa tu ndo wanazoendekeza!.
Hoja yangu ya mwisho ni siasa imemeza utaalamu!.
hili ni tatizo kwenye nchi yetu wanasiasa wanapenda kupambwa hata kama anakosea we mpambe tu!, kwasababu mtu huyo ameshikilia panga lenye makali basi anaogopwa!.
Tunayo safari ndefu kama taifa tena ndefu haswa inafikia muda najiuliza au mimi pekee ndio zwazwa natakiwa kufuata njia wanazofuata wenzangu!..😅
Muhongo kashusha mambo humu yakitaalamu kuhusu kesho yetu akiangazia maliasiri tulizonazo na malengo yetu, huku akishauli nini kifanyike ili tufikie hayo malengo yetu.
View: https://youtu.be/qub7qMyBfO8?si=13-LvTBGQCoGkmmm
Utafiti wa Dr Jane Goodall unawahusu sana viongozi wetualisemaje kwenye utafiti wake?
siyo lissu, ni kigwangalaProfesa, mara moto mara baridi. Awe na msimamo.
Huko nyuma, Lissu alishawahi kusema hajawahi kuona profesa muongo kama profesa Muhongo.
ilikuwa ishu ya iptl vs tanesco na escrow akaunti, ni kigwangala ndo alitoaga huo msemo siyo lissu.Lisu kama Lisu ....kipindi icho prof alikuwa anakula vizuri nishati na madini uongo ndo ulimbeba