Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?
tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??
hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu
kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya
magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo
ccm wanafiki
magu mnafiki
napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
JPM aliomba mtu mmoja mmoja kura rasilimali zipi anazotetea huyu mtu kila aligusalo lazima liharibike.. sukari, makinikia, korosho, kikokotoo, barabara etcWewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Lazima umtete bosi wako ili watoto waende choo,uongo mjomba?Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Umeandika uharo gani mkuu huu?Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Reli, fly over vyote vimeharibika.JPM aliomba mtu mmoja mmoja kura rasilimali zipi anazotetea huyu mtu kila aligusalo lazima liharibike.. sukari, makinikia, korosho, kikokotoo, barabara etc
Mkuu hakuna fly over bali kuna tuta kubwa pia kuhusu reli huo mradi umekausha pesa hatari sana hakuna pesa yoyote ile..
Naona mnahangaika sana na huyo msaliti kila siku mnampaka rangi mpya! Kwa taarifa yako huyo msaliti hata akienda kutambika kwa babu yako hawezi kuwa Raisi wa JMT labda raisi wa TLS.Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?
tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??
hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu
kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya
magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo
ccm wanafiki
magu mnafiki
napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
Tulia dawa ikuingie! Mwaka kesho tunapanda train ya SGR from Dar to Moro and back. Hapa kazi tu!!Mkuu hakuna fly over bali kuna tuta kubwa pia kuhusu reli huo mradi umekausha pesa hatari sana hakuna pesa yoyote ile..
Mnawaza ushirikina tu maaninah zenu.Naona mnahangaika sana na huyo msaliti kila siku mnampaka rangi mpya! Kwa taarifa yako huyo msaliti hata akienda kutambika kwa babu yako hawezi kuwa Raisi wa JMT labda raisi wa TLS.
Kwaio unapanda kabla hata ya reli haijakamilika, dawa gani iniingie mkuu watu tunakula mema ya nchi wewe unapiga kelele hapo huna hata 200,000 ya kutumia mwaka mpya...hahahahaTulia dawa ikuingie! Mwaka kesho tunapanda train ya SGR from Dar to Moro and back. Hapa kazi tu!!
Kwanini SGR haijajengwa Dar to Tunduma? Huko ingeleta faida kubwa sana kuliko huko inakopelekwa!!! Kwanini chattle international airport isingekua Dodoma airport?Tulia dawa ikuingie! Mwaka kesho tunapanda train ya SGR from Dar to Moro and back. Hapa kazi tu!!
Katiba hairuhusu!Mnawaza ushirikina tu maaninah zenu.
Yaani unaongea 200,000/= kumbe you are too low kiasi hicho mkuu!!?Kwaio unapanda kabla hata ya reli haijakamilika, dawa gani iniingie mkuu watu tunakula mema ya nchi wewe unapiga kelele hapo huna hata 200,000 ya kutumia mwaka mpya...hahahaha