Tetesi: Ukisoma alivyotetea watu Tundu Lissu bila gharama yoyote ukimlinganisha na aliyofanya Magufuli huamini unaposikia habari za uzalendo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?

tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??

hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu

kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya

magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo

ccm wanafiki
magu mnafiki

napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu

JPM aliomba mtu mmoja mmoja kura rasilimali zipi anazotetea huyu mtu kila aligusalo lazima liharibike.. sukari, makinikia, korosho, kikokotoo, barabara etc
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Lazima umtete bosi wako ili watoto waende choo,uongo mjomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Umeandika uharo gani mkuu huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?

tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??

hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu

kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya

magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo

ccm wanafiki
magu mnafiki

napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
Naona mnahangaika sana na huyo msaliti kila siku mnampaka rangi mpya! Kwa taarifa yako huyo msaliti hata akienda kutambika kwa babu yako hawezi kuwa Raisi wa JMT labda raisi wa TLS.
 
Mkuu hakuna fly over bali kuna tuta kubwa pia kuhusu reli huo mradi umekausha pesa hatari sana hakuna pesa yoyote ile..
Tulia dawa ikuingie! Mwaka kesho tunapanda train ya SGR from Dar to Moro and back. Hapa kazi tu!!
 
Naona mnahangaika sana na huyo msaliti kila siku mnampaka rangi mpya! Kwa taarifa yako huyo msaliti hata akienda kutambika kwa babu yako hawezi kuwa Raisi wa JMT labda raisi wa TLS.
Mnawaza ushirikina tu maaninah zenu.
 
Tulia dawa ikuingie! Mwaka kesho tunapanda train ya SGR from Dar to Moro and back. Hapa kazi tu!!
Kwaio unapanda kabla hata ya reli haijakamilika, dawa gani iniingie mkuu watu tunakula mema ya nchi wewe unapiga kelele hapo huna hata 200,000 ya kutumia mwaka mpya...hahahaha
 
Kwanini SGR haijajengwa Dar to Tunduma? Huko ingeleta faida kubwa sana kuliko huko inakopelekwa!!! Kwanini chattle international airport isingekua Dodoma airport?

Kwanini daraja la coco to aghakhan lisingekua daraja la zanzbar to bagamoyo?
 
Kwaio unapanda kabla hata ya reli haijakamilika, dawa gani iniingie mkuu watu tunakula mema ya nchi wewe unapiga kelele hapo huna hata 200,000 ya kutumia mwaka mpya...hahahaha
Yaani unaongea 200,000/= kumbe you are too low kiasi hicho mkuu!!?
 
Back
Top Bottom