Tetesi: Ukisoma alivyotetea watu Tundu Lissu bila gharama yoyote ukimlinganisha na aliyofanya Magufuli huamini unaposikia habari za uzalendo

Hao wote ni wanasiasa, na hiyo ndiyo ajira yao, wote wanalipwa kufanya kazi kwa ajili ya wa tz. Japo kiwango cha utendaji kazi wao kinatofautiana.
 
Nina wasiwasi na Marinda kama bado utakua nayo.
 
Nina wasiwasi na Marinda kama bado utakua nayo.
 
Point of correction; JPM hajawahi kutete mtu au watu wowote na popote kwa namna yoyote ile na wala hatakuja kutetea, ila kwenye kukomoa,kuadhibu na kusulubu ndiko aliko bora.
Hiyo iko wazi tukiweka ushabiki uchwara pembeni. So stupid eti anatetea Tanzania na Afrika, acha comedy hizo.
 

Siasa Bwana. Ndo umeongea mwenyewe. Nahisi hata tundu Lissu mwenyewe anakucheka. Hawa wanasiasa wanajua ukweli ila hawatakwambia wewe. La msingi fanya yako kama huwezi jua kwenye siasa unayoonyeshwa ni kinyume chake. Cheki sura ya JPM Tangu unamjua fananisha na matendo na maneno yake. Utaelewa we mjinga hujui hata unaongea nini. Na usije Hapa na hadithi za kuhisi na kusikia.
 
Mkuu,you have wrtten the very truth!Nothing but truth.Lakini sisyemu watabisha.Sisyemz are purely devils with long tails!😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu weye ukipumzika huwa unapendelea kinywaji gani?Umekuwa mkweli mnoo!I like it!
 
Yeye JPM katenda hivi, subiri ukiwa Rais utatenda hivyo nawe.
Kwanini SGR haijajengwa Dar to Tunduma? Huko ingeleta faida kubwa sana kuliko huko inakopelekwa!!! Kwanini chattle international airport isingekua Dodoma airport?

Kwanini daraja la coco to aghakhan lisingekua daraja la zanzbar to bagamoyo?
 
Huo
Mkuu weye ukipumzika huwa unapendelea kinywaji gani?Umekuwa mkweli mnoo!I like it!
Ni uzuzu tu, Uzuzu huleta upofu wa kutoona. Kule Bagamoyo alipomega eneo LA jeshi na kuwapa wananchi sio kuwatetea wanyonge?, Kufuta ushuru kwa mzigo chini ya tani moja sio utetezi?,_Kutoa Elimu Bure sio utetezi, kujenga hostel sio utetezi
 
Huo

Ni uzuzu tu, Uzuzu huleta upofu wa kutoona. Kule Bagamoyo alipomega eneo LA jeshi na kuwapa wananchi sio kuwatetea wanyonge?, Kufuta ushuru kwa mzigo chini ya tani moja sio utetezi?,_Kutoa Elimu Bure sio utetezi, kujenga hostel sio utetezi
Weye ni team JPM.Ungeandika tofauti Tabora "wangekusangaa"!
 
Wewe naona ujui umeandika nini utakua una akili kama Pole pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…