Tetesi: Ukisoma alivyotetea watu Tundu Lissu bila gharama yoyote ukimlinganisha na aliyofanya Magufuli huamini unaposikia habari za uzalendo

Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?

tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??

hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu

kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya

magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo

ccm wanafiki
magu mnafiki

napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
Hao wote ni wanasiasa, na hiyo ndiyo ajira yao, wote wanalipwa kufanya kazi kwa ajili ya wa tz. Japo kiwango cha utendaji kazi wao kinatofautiana.
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Nina wasiwasi na Marinda kama bado utakua nayo.
 
Point of correction; JPM hajawahi kutete mtu au watu wowote na popote kwa namna yoyote ile na wala hatakuja kutetea, ila kwenye kukomoa,kuadhibu na kusulubu ndiko aliko bora.
Hiyo iko wazi tukiweka ushabiki uchwara pembeni. So stupid eti anatetea Tanzania na Afrika, acha comedy hizo.
 
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?

tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??

hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu

kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya

magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo

ccm wanafiki
magu mnafiki

napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38

Siasa Bwana. Ndo umeongea mwenyewe. Nahisi hata tundu Lissu mwenyewe anakucheka. Hawa wanasiasa wanajua ukweli ila hawatakwambia wewe. La msingi fanya yako kama huwezi jua kwenye siasa unayoonyeshwa ni kinyume chake. Cheki sura ya JPM Tangu unamjua fananisha na matendo na maneno yake. Utaelewa we mjinga hujui hata unaongea nini. Na usije Hapa na hadithi za kuhisi na kusikia.
 
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?

tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema sio mzalendo ??

hivi uzalendo wa magufuli ni upi unaomzidi tundu lisu

kama kweli magufuli ni mzalendo kuliko tundu lisu na vyombo vya dola vinaamini hivyo basi ni bora tupigwe bomu la nyuklia kizazi hiki cha wanafiki tanzania kifutike tuanze upya mungu aanzishe maumbile mapya

magufuli ni chawa tundu lisu ni tembo linapokuja kilinganishi cha ukubwa wa uzalendo

ccm wanafiki
magu mnafiki

napendekeza kila mzalendo ajaribiwe kwa risasi 38
Mkuu,you have wrtten the very truth!Nothing but truth.Lakini sisyemu watabisha.Sisyemz are purely devils with long tails!😂😂😂😂😂😂😂
 
Point of correction; JPM hajawahi kutete mtu au watu wowote na popote kwa namna yoyote ile na wala hatakuja kutetea, ila kwenye kukomoa,kuadhibu na kusulubu ndiko aliko bora.
Hiyo iko wazi tukiweka ushabiki uchwara pembeni. So stupid eti anatetea Tanzania na Afrika, acha comedy hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weye ukipumzika huwa unapendelea kinywaji gani?Umekuwa mkweli mnoo!I like it!
 
Yeye JPM katenda hivi, subiri ukiwa Rais utatenda hivyo nawe.
Kwanini SGR haijajengwa Dar to Tunduma? Huko ingeleta faida kubwa sana kuliko huko inakopelekwa!!! Kwanini chattle international airport isingekua Dodoma airport?

Kwanini daraja la coco to aghakhan lisingekua daraja la zanzbar to bagamoyo?
 
Huo
Mkuu weye ukipumzika huwa unapendelea kinywaji gani?Umekuwa mkweli mnoo!I like it!
Ni uzuzu tu, Uzuzu huleta upofu wa kutoona. Kule Bagamoyo alipomega eneo LA jeshi na kuwapa wananchi sio kuwatetea wanyonge?, Kufuta ushuru kwa mzigo chini ya tani moja sio utetezi?,_Kutoa Elimu Bure sio utetezi, kujenga hostel sio utetezi
 
Weye ni team JPM.Ungeandika tofauti Tabora "wangekusangaa"!
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Wewe naona ujui umeandika nini utakua una akili kama Pole pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe inabidi utembezwe nchi nzima unaoneshwa kama Zuzu LA Taifa kwa mwaka 2018. Tundu alitetea MTU mmojammoja, JPM analitetea Taifa na Afrika nzima, umlinganishe Tundu na JPM?,_wewe zuzu la Karne. Tundu kwa kutetea wachache alikuwa anajitangaza kwa lengo LA kujiingizia kipato. JPM anatetea rasilimaliza nchi, fedha za umma, uhai wa watu, ITU na hadhi ya mtanzania.Mkubali tu JPM, dunia nzima inamtamani isipokuwa mazuzuu tu
Una umwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom