Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yangu huelewi maana ya sayansi. Kwa ufupi sayansi ni utatuzi na ugunduzi. Sasa kwenye sehemu ya utatuzi ndiyo inaingia pia kwenye social sciences (sayansi ya jamii) ambapo kwa zamani zilikuwa zinaitwa sociology kabla ya sociology kujitegemea ndipo taaluma zote za maswala ya jamii ikiwemo political sayansi zinakaaKwanza Siasa si sayansi - hii ni kuidhalilisha sayansi niliyoisosea.
Hiyo inatakiwa iitwe Degree ni Arts with (in) Politics.
Utakuwa na wewe umeisomea hiyo hiyo.Jamaa yangu huelewi maana ya sayansi. Kwa ufupi sayansi ni utatuzi na ugunduzi. Sasa kwenye sehemu ya utatuzi ndiyo inaingia pia kwenye social sciences (sayansi ya jamii) au kwa lugha nyingine inaitwa sociology ndipo taaluma zote za maswala ya jamii ikiwemo political sayansi zinakaa
Mkuu labda nikuweke wazi mie nimesoma taaluma nyingi sana zikiwemo B.Sc with Education na B.Sc Geology n.k Sasa endelea kukariri.Utakuwa na wewe umeisomea hiyo hiyo.
Mbona makatibu tarafa na kata kwa miaka mingi wamekuwa wakiajiriwa watu wenye diploma?Hiyo degree uliyoitaja haipo bali kuna political science and Public administration.
Kabla haijawa kama membe ya msimu,walikuwa wanaajiriwa kwenye utawala,makatibu kata,tarafa nk
😆😆😆Ndio degree ya John Mrema
Maisha sio rahisi hivyo ndugu....Science ni dude kubwa sana...sio hizi porojoJamaa yangu huelewi maana ya sayansi. Kwa ufupi sayansi ni utatuzi na ugunduzi. Sasa kwenye sehemu ya utatuzi ndiyo inaingia pia kwenye social sciences (sayansi ya jamii) ambapo kwa zamani zilikuwa zinaitwa sociology kabla ya sociology kujitegemea ndipo taaluma zote za maswala ya jamii ikiwemo political sayansi zinakaa
Shida ni Nini labda kuitwa political science ama? Kwa taarifa Yako neno sayansi lilianza kutumika kwenye social sciences kabla ya kutumika kwenye Engineering sciences, Astronomy na Aucastic sciences.Maisha sio rahisi hivyo ndugu....Science ni dude kubwa sana...sio hizi porojo
Tanzania Kuna shahada ya Political science & public administration; PS & Economics; n.k. Hakuna Shahada ya Political science tupu. Ndani ya hiyo PS wanajiufunza policy studies, public administration, civil society, personnel management n.k. Hivyo wanaajiriwa kama Afisa Utumishi, Afisa Tawala n.k.Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu?
Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
Kwenye uchawa wa wala kwa urefu wa kambaHawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu?
Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.