THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #21
Mtaongea sana ila majipu lazima yatumbulRuiwe. Yalilelewa sana na awamu iliyopita.
Watumbue Magu wetu gooooo....
Hatuwez kuwaacha mnafanya mambo kienyeji eti
NSSF lazima itumbuliwe ilishafanywa kama sebuleni kwa mtu. Mtaisoma namba na bado...
Hatuwez kuwaacha mnafanya mambo kienyeji eti kwa kigezo mnatumbua majipu hilo haliwezekani.
Ona sasa mnavyokurupuka.
Mnafanya uteuzi wa foreignera wakati wazawa wapo ndiyo nin?
Hata kama mmeshiba chuki serikali haiendeshwi kwa mizuka..!
Tambuen hilo.