Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

You are right..!

Sahihi kabisa maneno yako...

Kila kitu kina ukomo wake hata katika utumish wa umma mwisho wake ni kustaafu...

Hata kwa Dr Dau bila shaka alibakisha miaka michache sana kustaafu.

Ishu hapa siyo kuondoka kwa Dr Dau Nssf au ni muda gan ambao Dr Dau amekaa na kuhudumu Nssf.

Ishu kubwa ni kwa namna gan ameondolewa?

Kama kwa kustaafu ni sawa...kama ni kwa kupangiwa majukumu mengine na Mh Rais kama hayo ya ubalozi pia ni sawa.

Lakin kwa upande mwingine hatuwez kuvumilia kuona wat wanafanya character assassination kwa kiongoz ambae katika kipine chake choote cha utumish wa umma kafanya kas zake vyema tena kwa inavyopaswa kupongezwa.

Mbaya zaid wengi wao wanakuja kusema hovyo kwa kuhusisha na iman yake katika utendaji wake hii haitaweza kuvumilika...

Kinachofanywa ni kuzid kupandikizwa chuki na uhasama .QUOTE="Masanja, post: 15482152, member: 4617"]So unfortunate that wote wanaolalamika kuhusu NSSF...majority kama sio wote wanaliangalia kwa muktadha wa kidini. Kwamba Dau alikuwa mwenzetu! Ndo maana hoja nyingi za NSSF zinakosa mashiko zinaangaliwa kama propaganda. Kwani ni NSSF pekee? mbona sijaona malalamiko kuhusu TRA, Bandari, Reli nk? What is so special about NSSF? Upo hata uwezekano kwamba wanaolalamika humu hawajawahi hata kuwa na michango yao NSSF?

Na kitu cha kujiuliza DG wa mashirika ya umma..wanakuwa wakurugenzi kwa mda gani? I mean mkataba ni mda gani? Otherwise tuwakumbushe viongozi wetu kuhakikisha kwamba nafasi za juu kama hizi..zinakuwa na ukomo...

Dr. Dau Has been DG wa NSSF for more than 10 years! For whatever's sake..jamani.....let the guy move on! Kuna maisha zaidi ya NSSF! Watanzania tujifunze kutambua kwamba kila kitu na wakati wake! Siamini kwamba mpaka sasa kuna watu wanaona kwamba Dr. Dau alistahili kuendelea pale! Hata President karudi Msoga! Ije kuwa mkurugenzi wa shirika??? Let Dr. Dau go!

Tubadilike! No one and I repeat NO ONE (shouting ;-).....is indispensable in life![/QUOTE]
 
Kuhusu hili la NSSF nadhani ifikie kipindi tuanze kuulizana kama wewe mleta unaetetea uamuzi wa kuvunjwa bodi yake (kama habari hiyo in aukweli) au unae unga mkono Je wewe ni mwana chama wa NSSF au sio? Wengine pesa zetu zipo pale NSSF na PPF so mambo ya PSPF sijui nani hata siyafuatilii kabisa but NSSF na PPF mimi ni member, nayajua mazuri ya Dr. Dau na kuna sehemu nyingi tu nina mlaumu Dr. Dau cause alikua ananihusu.
 
Ukomo wa bodi iliyopita ilikuwa lini the bigshow ??
 
[QUOTE="

Balozi Ombeni Sefue amediriki kinyemela kuvunja bodi ya wakurugenz ya Nssf na kumuondoa hadi Mwenyekiti wa bodi hiyo kinyemela pasi na kuutarifu hata umma wa watanzania...!

Nan kampa mamlaka sefue ya kutengua uteuzi wa Mh Rais Hilo ni moja..

Pili maamuz hayo anayafanya kwa interest ya nani...who is behind who?...

Tatu kikawaida suala la kuvunja bodi ya shirika kubwa la umma kama Nssf siyo dogo ni lazima wananchi kama stake holders wajulishwe na wafahamishwe suala hilo..sasa usiri huo uliopo katika hili sakata zima la Nssf umebeba jambo gani?...

.[/QUOTE]

Ukweli ni kwamba Bodi iliyokuwepo imemaliza muda wake hivi karibuni.

Just to put records straight.
 
Watu wanafiki humu........Dr. Dau kateuliwa Kuwa balozi. Kwenye uteuzi hatukuambiwa kwamba ni mwizi au utendaji wake ulikuwa mbovu. Sasa Haya maneno na the so called characterasasination yanatoka wapi? Reality is some people are not happy kwa sababu katolewa kwenye ulaji!!!!! Mengine ni funika kombe mwanaharamu apite.
 
Hivi Nssf si ndo hawa wanatunza tuhela twetu wanazotukata kwenye tumishahara twetu hivi kweli hutu tuhela twetu tuko salama hukoo??
 
Kwa kweli mimi namuonea huruma sana Mh Rais Dr John Pombe..ana nia njema sana na nchi hii lakin watu kama sefue na shitindi awaangalie vizur washaanza kumtia doa katika utawala wake.

Anajinasibu kutumbua majipu ili hali majipu anayo ndan mle mle ikulu...

Very sad...
sema shida yake anakula kitmto
 
Mkuu hivyo hata wewe huna taarifa kuwa balozi ombeni sefue na shitindi kinyemela wamevunja bodi ya Nssf na kumwondoa mwenyekiti wa bodi hiyo ambae ni mteule wa rais kinyemela pia tena hata kuujuza umma?...

Hilo ndilo lilivyo mkuu...

Amin hiki ninachokuambia.
Hiyo Board ya NSSF ndiyo ilikuwa unafanyia vikao vyake DUBAI ndiyo unatetea uhalali wake!?
You can't be serious!
 
Watu waelewe kwamba no one is crying for Dr Dau...

Dr Dau ni mtu mwenye heshima kubwa nch hii...

Na CV yake is Remakarble..!

And for now he is A Presidential Nominee...

He is now His Excellecy Ambassodor Dr Ramadhan Dau...

Anaondoka Nssf kwa heshima kaacha history dunia yote inafaham...

Tunachojadili ni kwamba haya madudu huku nyuma Nssf yanafanywa kwa maslahi ya nan?

Maslahi ya chuki au maslahi ya Taifa?
Kuna jambo unalijua lakini unajifanya hamnazo!
Ngoja report za uchunguzi zitoke kwy public ndiyo utamjua huyo unayemsifia!
 
Mi sifaham what is behind curtain in NSSF! Mbona TRA inayokusanya mapato haizungumzwi kama NSSF? Kuna nini inaipa kick hiyo post ya DG?
 
Tunafahamu kuwa Waziri wa kazi Jenista Mhagama, Katibu Mkuu wizara ya Kazi Eric Shitindi, Waziri wa mambo ya Ndani, Charles Kitwanga Mkurugenzi wa Operations NSSF Crescentius Magori na Director wa Public Relations NSSF Eunice Chiume wanafanya kazi ya ziada kumchafua Dr magazetini lakini kwa nini wahariri wanakubali kutumika kupandikiza mbegu ya chuki na udini?

Kwa nini huu uchochezi unanyamaziwa na vyombo vya dola?

sasa ile habari kuwa Magufuli alipewa taarifa za uwongo juu ya Dr Dau na watu wake (akina Sefue, Shitindi,Kitwanga na Mhagama) hazikukuwa na ukweli wowote ule na hii jitihada yenye harufu ya duni inayotumika sasa imedhihiri wazi kuwa hii vita dhidi ya Dr Dau ni Udini na sidhanii kama Mheshimiwa Magufuli anafurahia haya mambo.

Kwanza Magazeti ya MTANZANIA na DIRA na JAMBO LEO yalimchafua Dr Dau kwakutumia ripoti feki ya CAG

sasa naona RISASI wamekuja na hiii

hatujui kesho na wiki ijayo magazeti yakuja na nini lakini sidhani kama wakoaji wakubwa wa Dr Dau watapendezwa na hili

Pia cha kushangaza kwa nini Dr Dau hajayashitaki haya magazeti yanayomchafua? ni wazi waziri wa Habari Nape anafurahia haya mambo ya kuchafuana magazetini.



20160409_045728.jpg
 
Ni kawaida ya serikali ya awamu ya tano..Unakumbuka Prof Mbarawa aliteuliwa wizara ya maji ambayo sio mambo ya muungano.? Baada ya kushtuliwa akatengua..Hii serikali ni mwendo wa mizuka tu mkuu
Kwani wizara alipo sasa ni ya mambo yanayohusu muungano?
 
Pamoja na kwamba meengi yamezungumzwa kuhusu Shirika La Hifadhi ya jamii la taifa Nssf...Bado Jamii imezid kubakia njia panda na kukosa majibu yenye tija ya kuhusu nin hasa kinachoendelea na kilichojificha Nssf.

Hivi Punde ilizuka hali ya kustaajabisha baada ya Waziri wa kazi na Ajira Mh Jenista Mhagama kufanya uteuzi wa kukurupuka wa mtu wa kukaimu nafasi ya mkurugenz mkuu wa Nssf Nafasi ambayo imeachwa wazi mara baada ya Mkurugenzi Alieacha Mafanikio yasiyo ya Kifani Nssf Dr Ramadhan Dau kuteuliwa kuwa balozi na Mh Rais Dr John Magufuli.

Swali liliobakia hiv sasa baada ya kutokea kwa kioja cha Mh Wazir Jenista Mhagama ni hili la Ombeni Sefue...

Balozi Ombeni Sefue amediriki kinyemela kuvunja bodi ya wakurugenz ya Nssf na kumuondoa hadi Mwenyekiti wa bodi hiyo kinyemela pasi na kuutarifu hata umma wa watanzania...!

Nan kampa mamlaka sefue ya kutengua uteuzi wa Mh Rais Hilo ni moja..

Pili maamuz hayo anayafanya kwa interest ya nani...who is behind who?...

Tatu kikawaida suala la kuvunja bodi ya shirika kubwa la umma kama Nssf siyo dogo ni lazima wananchi kama stake holders wajulishwe na wafahamishwe suala hilo..sasa usiri huo uliopo katika hili sakata zima la Nssf umebeba jambo gani?...

Na Je Mh Rais Usalama wa Taifa wanafanya kazi yao ipasavyo katika kumshauri kwa undani katika masuala kama haya?...

Naomba kuwasilisha.
Ameteuliwa kuwa balozi wa nchi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom