THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #21
Mtaongea sana ila majipu lazima yatumbulRuiwe. Yalilelewa sana na awamu iliyopita.
Watumbue Magu wetu gooooo....
Hatuwez kuwaacha mnafanya mambo kienyeji eti
NSSF lazima itumbuliwe ilishafanywa kama sebuleni kwa mtu. Mtaisoma namba na bado...
kiongozi , asalama aleko .Mods Tafadhali naomba kwa heshima yenu uzi huu usiunganishwe tafadhali.
Ili atleast tuweze kujadili na kubadilishana fikra.
Hakuna cha kujadili hapa. Hii NI hangover ya kutumbuliwa dr dau . Poleni SANA waathirika ila NI kwa Faida ya wengi . Dau ametumikia Nchi yake na sasa NI zamu ya mwingine
Hebu weka majina ya wajumbe wa bodi iliyovunjwaDr Dau ni mteuele wa Rais hiv sasa ni balozi.
Kwan kaondolewa au kafukuzwa kazi?
Why unaongea kama hutambui nin kinajadiliwa?
The Problem siyo kuondolewa Dr Dau Nssf...
Kwani Dr Dau angefia pale Nssf?..muda wake ungefika angeondoka na ndiyo hivyo kaondoka.
Na Hajaondoka kwa kashfa pale.
Tunachoji hapa ni vitu vya msingi...
Iweje wateuliwe waganda kuchukua nafas ya utumish wa umma ili watanzania wenye sifa wapo?
Wewe hilo hulion unakimbilia kumnanga Dr Dau tuh?
Uko sawa kiakili lkn?.
Sefue na shitindi wanavunja bodi ya nssf kiholela na kinyemela unataka watanzania wasihoji?
Tangu lini wewe ukafaa kuonewa huruma?Mkuu ipo haja ya kuwekana sawa katika hili na mengine mengi yanayojiri...
Hebu weka majina ya wajumbe wa bodi iliyovunjwa
Tangu lini wewe ukafaa kuonewa huruma?
Cha msingi hao usalama wa taifa unaowalilia ndio wamefichua madudu ya Dau na kumshauri Pombe amfukuze kimyakimya na kumpa ubalozi.
Pia hiyo bodi imevunjwa kimyakimya ili kuepuka kuibua madudu yenye connection na Dau.
Pls Try to organise ur brain..I now tend to believe the hear say about dr dau sio bure hii reaction baada ya yeye kuondolewa .
Funguka mkuuKuna fitna kubwa inayoendelea chini kwa chini nssf! anyway yana mwisho haya
Huyo mheshimiwa naona nae Kakariro maneno ya yule jamaa Jeshi la mtu 1,,,anajiongelesha lkn hasemi kama anayotaarifa Rasmi ya kuvunjwa BodiIssue ya Dr. Dau kuondolewa NSSF imegusa watu sana. Kuna shida gani?
Mleta mada, lete facts tujadili. Ombeni Sefue amevunja bodi ya NSSF, je taarifa rasmi ya serikali iko wapi? Coz siamini kuwa anaweza kuvunja bodi "kinyemela". Na je, huyo Sefue, ana mamlaka a kuvunja bodi yoyote ya shirika la umma, iwe kwa idhini ya raisi au kwa madaraka aliyo nayo?
M/kiti wa bodi alikuwa Abubakar Salum Rajab,Katibu wa bodi ni Ramadhani Dau,wajumbe ni Zuhura Sinare,Boniface Nkakatisi,Almasi Maige,Saidi Magonya,Margareth Ikongo,Omar Ayoub n.k.Hebu weka majina ya wajumbe wa bodi iliyovunjwa