Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

Kipi hasa kinachoendelea baina ya Ombeni Sefue na Shitindi ambacho umma wa watanzania unafichwa?
Udini utakumaliza,wewe sasa kubali matokeo kuwa hiyo point yako ya udini imesha pigwa chini
Cc:Fayza Fox
 
mnahaha bure wanufaika Wa. Dr dau tafuteni kazi nyingine mlibebwa bila kuwa na sofa za cheo mlichopewa
 
Kwa taarifa yako tu DAU hachafuliwi la hasha. Yeye ni mchafu kuliko uchafu wa nini da Dar. IPO siku yatakuwa out.
 
Sefue na Shitindi wana agenda maalum na Magori wa nssf.yote hayo yalikua ni kumuandalia mazingira Magori apewe ukurugenzi mkuu wa shirika hilo.Ubinafsi ni kitu kibaya sana,kwani uchafu wa magori unajulikana wazi wazi lakini sefue na shitindi bado walitaka apewe ukurugenzi mkuu wa nssf.
ukiacha yote hayo,system inajua kuwa magori ni team lowasa,licha ya kujifanya kutoa support kwa magufuli wakat wa campaiign za uchaguzi.
Leo shirika linaongozwa na Magori,licha ya kuwa kuna mkurugenzi mkuu mpya.imeonesha wazi kuwa magori ndie anaeongoza shirika hilo.
 
KWELI HII SERIKALI YA MIZUKA
 
Wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi...Mawasiliano ni mambo ya Muungano
Hujui kama zanzibar kuna wizara ya mawasiliano?
Zanzibar wana sumatra yao,
Kinachofanyika ni kushare international codes tu lakini haipo katiba yetu
 


Hakuna ulichoandika hapa chenye maana zaidi ya kutuonyesha mbumbumbu wa kujua MAMLAKA,sefue ni katibu mkuu kiongozi anayeelekezwa na rais afanye jambo Fulani,sasa kama raisalimuagiza aitaarifu mwenyekiti wa board kuwa ameivunja yeye sefue angemgomea raisi au ukitaka afanyeje.we tulia Dawa ikuingie maana soon na mumeo dau yatawekwa kati
 
The big show at NSSF, balozi wa kigamboni aendelee tu kusubiri .
 
Hili la kuvunja tena Bodi ya NSSF vipi ? Kuna mgongano wa Masilahi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…