Nuel27
JF-Expert Member
- Jul 3, 2026
- 461
- 915
NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu ๐๐๐
Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako ๐๐,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa ๐
Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka ๐๐๐๐ ila hiki chama kiboko
Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko
Eligi Liwembe
Eligi Liwembe. 10,225 followers ยท 4,305 talking about this. Digital creator