Ukistaajabu ya Lucas Mwashambwa utayaona ya wafuasi wa Dr Eligi Liwembe 😂

PhD ya uchawa 😂
Ila kwa mbilinge zake apewe tu udaktari wa heshima maana haipiti siku ajajiposti mara yupo shuleni na sufuria la ubwabwa wa wanafunzi na madaftari ya watoto na hapo anakumbia ,"life is go" full shangwe na profesa wetu Eligi
 
Sikuhizi anatembea na ngeli tu tena ya kuunga unga na super glue 😂
 
Back
Top Bottom