Ukistaajabu ya Lucas Mwashambwa utayaona ya wafuasi wa Dr Eligi Liwembe ๐Ÿ˜‚

View attachment 3682401
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mara ya kwanza kuona comment za kumuelezea Dr Eligi nikajaa kwenye 18 ,nikasema jamaa kichwa kweli maana niliona walisema alishiriki kuandaa mifumo ya IT inayotumika na FBI hahaaaaa ,kuja kuangalia profile yake nikaona kumbe jamaa ni teacher tena kijijini wa shule ya msingi.
 
Siku akiamka vizuri uwa anacharaza kiinglishi ,broken zake utacheka mpaka ufe
 
Dr Eligi ni comedian tu.
Alafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.

Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .

Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
 
Hahaa ukiingia kichwa kichwa unaweza ukajua jamaa ni tajiri mkubwa wa Luhangwa.
 
View attachment 3682399Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko .

NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
View attachment 3682397

Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa ๐Ÿ˜‚

Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ ila hiki chama kibokoView attachment 3682398

Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko

Huyo eligi hilo tumbo tushamwambia akajifungue kwanza ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ mtumishi wa serikali mwenye pesa nyingi ruagwa nzima
 
Alafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.

Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .

Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
Anakwambia yeye anaishi maisha yake baiskeli ya mama anayo na anatamba nayo ๐Ÿ˜‚
 
Mara ya kwanza kuona comment za kumuelezea Dr Eligi nikajaa kwenye 18 ,nikasema jamaa kichwa kweli maana niliona walisema alishiriki kuandaa mifumo ya IT inayotumika na FBI hahaaaaa ,kuja kuangalia profile yake nikaona kumbe jamaa ni teacher tena kijijini wa shule ya msingi.
Wafuasi wake wanamwaga sifa luca haoni ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Alafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.

Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .

Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
Mimi ndio nimemjua Leo, jamaa wanasifia kinoma haaahaa ๐Ÿ˜Š
 
View attachment 3682399Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko .

NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
View attachment 3682397

Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa ๐Ÿ˜‚

Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ ila hiki chama kibokoView attachment 3682398

Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko

Apewe Uafisa Tarafa ili awe bize kukaribisha wageni mikutanoni kama air hostess mzee!
 
Huyo eligi hilo tumbo tushamwambia akajifungue kwanza ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ mtumishi wa serikali mwenye pesa nyingi ruagwa nzima
Siku moja niko ruangwa Lindi nikasema hapana huyu bwana imetosha kumuona kwenye mitandao wacha hii namba anayoweka nimpigie walau nimtie machoni .

Piga namba ikapokelewa vizuri ,nikajitambulisha mimi ni shabiki yake mkubwa na mtumishi mwenzake ila sina hela kama yeye hivyo naomba kuonana naye walau nimsalimie na kupata picha ya pamoja na profesa Eligi ,likawa linakubali alafu nalisikia pembeni linauliza pembeni eti hawa hawawezi kuwa watekaji Eti anajiita shabiki yangu

Nikakata simu nikampigia tena akawa anakata simu badaye likazima kabisa simu ,siku nikalichana kwenye ukurasa wake linasema lilikuwa bize na kikao cha chama ๐Ÿ˜€
Mimi ndio nimemjua Leo, jamaa wanasifia kinoma haaahaa ๐Ÿ˜Š
Ni hatari sana kaka
 
Haaahaa ๐Ÿ˜‚
 
Anatuogopa mashabiki zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom