Ukistaajabu ya Lucas Mwashambwa utayaona ya wafuasi wa Dr Eligi Liwembe πŸ˜‚

Nuel27

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2026
Posts
461
Reaction score
915
Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko .

NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ


Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako πŸ˜‚πŸ™Œ,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa πŸ˜‚

Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ ila hiki chama kiboko

Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…