Mwashambwa anajifanya anaongea fact. Watu wanaongeza chochote. Eti iPhone 18 unajua imetoka ila hauna mpango nayo. Izo Picha kapiga kwenye Hot 7 Lite sijui.Sifa nyingi mpk mwashambwa anaahngaa kuwa naye anacompetitors waliomzidi π
Mara ya kwanza kuona comment za kumuelezea Dr Eligi nikajaa kwenye 18 ,nikasema jamaa kichwa kweli maana niliona walisema alishiriki kuandaa mifumo ya IT inayotumika na FBI hahaaaaa ,kuja kuangalia profile yake nikaona kumbe jamaa ni teacher tena kijijini wa shule ya msingi.View attachment 3682401
πππ
Siku akiamka vizuri uwa anacharaza kiinglishi ,broken zake utacheka mpaka ufeMara ya kwanza kuona comment za kumuelezea Dr Eligi nikajaa kwenye 18 ,nikasema jamaa kichwa kweli maana niliona walisema alishiriki kuandaa mifumo ya IT inayotumika na FBI hahaaaaa ,kuja kuangalia profile yake nikaona kumbe jamaa ni teacher tena kijijini wa shule ya msingi.
Dr Eligi ni comedian tu.Siku akiamka vizuri uwa anacharaza kiinglishi ,broken zake utacheka mpaka ufe
Alafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.Dr Eligi ni comedian tu.
Hahaa ukiingia kichwa kichwa unaweza ukajua jamaa ni tajiri mkubwa wa Luhangwa.Alafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.
Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .
Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
Huyo eligi hilo tumbo tushamwambia akajifungue kwanza π π π mtumishi wa serikali mwenye pesa nyingi ruagwa nzimaView attachment 3682399Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko .
NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu πππ
View attachment 3682397
Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako ππ,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa π
Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka ππππ ila hiki chama kibokoView attachment 3682398
Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko
Eligi Liwembe
Eligi Liwembe. 10,225 followers Β· 4,305 talking about this. Digital creatorwww.facebook.com
Anakwambia yeye anaishi maisha yake baiskeli ya mama anayo na anatamba nayo πAlafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.
Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .
Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
Wafuasi wake wanamwaga sifa luca haoni ndani ππMara ya kwanza kuona comment za kumuelezea Dr Eligi nikajaa kwenye 18 ,nikasema jamaa kichwa kweli maana niliona walisema alishiriki kuandaa mifumo ya IT inayotumika na FBI hahaaaaa ,kuja kuangalia profile yake nikaona kumbe jamaa ni teacher tena kijijini wa shule ya msingi.
Kitambi cha duaraaIlo Tumbo ni AI au? Dah watu ni wanamwaga sifa.
Mimi ndio nimemjua Leo, jamaa wanasifia kinoma haaahaa πAlafu sijui nani kampa huo udaktari ila yule mwana aibu hana ,amefanya kada ya walimu msingi izidi kudharauliwa.
Mara ajiposti na maugali na maharagwe alafu yenyewe ya wanafunzi .
Siku moja nikasema wacha nimuuliize AI kama anamjua huyu bwana na IA ni jinga kweli anabeba sifa za uongo anazopewa ndizo ananipa eti tajiri mkubwa wa ruangwa kulingana na wakazi wa huko
Apewe Uafisa Tarafa ili awe bize kukaribisha wageni mikutanoni kama air hostess mzee!View attachment 3682399Bwana lucas Mwashambwa na vijana wake wengine wana mengi ya kujifunza kutoka kwenye ukurasa rasmi wa facebook wa mkereketwa wa CCM Dr Eligi Liwembe mwalimu anayepatikana ndani ndani mwa Ruangwa huko .
NIkiwa zangu na stress huwa napita kwenye account yake kupata mbili tatu πππ
View attachment 3682397
Luca ukipita mle utajifunza mengi sana kwenye kazi yako ππ,nilidhani hakuna wa kukufikia kabla sijamfahamu Dr Eligi kumbe kuna watu wamekuzidi Lucas Mwashambwa π
Ukisikia machawa pro max ndo wanapitkana kule kwenye account ya jamaa.Yani bosi anamwagiwa misifa mpaka yege mwenyew anaanza kujicheka ππππ ila hiki chama kibokoView attachment 3682398
Anaitwa Eligi Liwembe facebook huko
Eligi Liwembe
Eligi Liwembe. 10,225 followers Β· 4,305 talking about this. Digital creatorwww.facebook.com
Siku moja niko ruangwa Lindi nikasema hapana huyu bwana imetosha kumuona kwenye mitandao wacha hii namba anayoweka nimpigie walau nimtie machoni .Huyo eligi hilo tumbo tushamwambia akajifungue kwanza π π π mtumishi wa serikali mwenye pesa nyingi ruagwa nzima
Ni hatari sana kakaMimi ndio nimemjua Leo, jamaa wanasifia kinoma haaahaa π
Haaahaa πSiku moja niko ruangwa Lindi nikasema hapana huyu bwana imetosha kumuona kwenye mitandao wacha hii namba anayoweka nimpigie walau nimtie machoni .
Piga namba ikapokelewa vizuri ,nikajitambulisha mimi ni shabiki yake mkubwa na mtumishi mwenzake ila sina hela kama yeye hivyo naomba kuonana naye walau nimsalimie na kupata picha ya pamoja na profesa Eligi ,likawa linakubali alafu nalisikia pembeni linauliza pembeni eti hawa hawawezi kuwa watekaji Eti anajiita shabiki yangu
Nikakata simu nikampigia tena akawa anakata simu badaye likazima kabisa simu ,siku nikalichana kwenye ukurasa wake linasema lilikuwa bize na kikao cha chama π
Ni hatari sana kaka
Sifa mpaka kupitilizaWanasifia kuanzia nywele ,mabega mpka miguu ππ
Duh huyu ni Dr wa kweli ama kama kina Marehemu Remmy Ongala?ππππ Kumbe
Anatuogopa mashabiki zake πππSiku moja niko ruangwa Lindi nikasema hapana huyu bwana imetosha kumuona kwenye mitandao wacha hii namba anayoweka nimpigie walau nimtie machoni .