Ukistaajabu ya Lucas Mwashambwa utayaona ya wafuasi wa Dr Eligi Liwembe πŸ˜‚

PhD ya uchawa πŸ˜‚
Ila kwa mbilinge zake apewe tu udaktari wa heshima maana haipiti siku ajajiposti mara yupo shuleni na sufuria la ubwabwa wa wanafunzi na madaftari ya watoto na hapo anakumbia ,"life is go" full shangwe na profesa wetu Eligi
 
Sikuhizi anatembea na ngeli tu tena ya kuunga unga na super glue πŸ˜‚
 
Naona Mwashambwa ka mute kama hajaliona hili bandiko labda kakimbilia huko facebook
Atakuwa yupo na kalamu na daftari sasahivi anachukua misamiati mipya kutoka kwa PhD πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…