Halafu kanapenda nyama ya kondooUkikutana na kamtu kafupi alafu kana confidence basi tunakuwaga tuongo sana .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Na kana kula kweli, kananengua kichizi kakiwa kiunoniHalafu kanapenda nyama ya kondoo
Si alisema atamfufua Amina Chifupa?mtindo wa kuongopa ameuasisi toka kanisani kwake, uongo wa kwanza ulianzia hapa, "kanisa la ufufuo na uzima" kama aliweza kumuongopea MUNGU wake, atashindwa kutuongopea cc wapiga kura?
mavi yake, huku tegeta tulimpa changamoto kwanza amfufue mama yake, mpk anamaliza mkutano wake hajafufua hata nziSi alisema atamfufua Amina Chifupa?
Jamaa muhuni sanaKazi mnayo huko Kawe.
Huwa anawaona watu wote hamnazo?mavi yake, huku tegeta tulimpa changamoto kwanza amfufue mama yake, mpk anamaliza mkutano wake hajafufua hata nzi
Yeye kwani hana wapendwa wake waliotangulia mbele ya haki?Si alisema atamfufua Amina Chifupa?
Tapeli kabisamavi yake, huku tegeta tulimpa changamoto kwanza amfufue mama yake, mpk anamaliza mkutano wake hajafufua hata nzi
Japan kuna rede?Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?
Utasikia ndezi mmoja akimwita baba wa kiroho. Hivi kwanini aliamua kujirekodi alipokuwa akipiga ile show yake mbovu?Tapeli kabisa
Anawaona manyani.Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?