Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?