cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ameshajua uwezo wenuAskofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?
Shida sio yeye ni wale wanaomsikiliza na kumwamini, akikosa mtu wa kumsikiliza atakaa kimyaAskofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.
Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.
Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?
Mama yake tu alishindwa, sembuse Amina Chifupa. Na watu walimsema sana siku ya msiba wa mama yake.Si alisema atamfufua Amina Chifupa?
Hapana, alizikwa Dar huko Salasala, watu wakawa wanasema mbona umeshindwa kumfufua mama yako.. kwenye Ibada ya mazishi akajitetea kiaina.Ndio alienda na chopper?
Ya kucheza rede.Uchaguzi una karibia, kwahiyo lazima atafute namna ili muendelee kumpigia kura huko Kawe kwa kuwapa ahadi nono nono 🤗
Hii Nchi ina Wajinga wengiYa kucheza rede.
Yaani mi mpaka nilishawapiga marufuku hapa kwangu kufungua hizo channels za akina Mwamposa lakini wapi, kuna tatizo kubwa sana.Hii Nchi ina Wajinga wengi
Fuatilia hata mikutano ya injili ya akina Mwamposa ndiyo utajua ukubwa wa tatizo
Kuna ukweli hapa?Kwenye ile video yake ya pilau kuna sehemu anasema "ooooohhh.........f@ck!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikutana na kamtu kafupi alafu kana confidence basi tunakuwaga tuongo sana .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nahisi wanatumia nguvu za ziada kuwakamata watu.Yaani mi mpaka nilishawapiga marufuku hapa kwangu kufungua hizo channels za akina Mwamposa lakini wapi, kuna tatizo kubwa sana.
Kweli kabisa, mtu una shule na exposure lakini unadanganywa na tapeli Mwamposa baba la matapeli.Nahisi wanatumia nguvu za ziada kuwakamata watu.
Binafsi nilimwambia Wife akitaka niachane naye aanze kwenda kuabudu kwa hao watumishi.
Haijalishi ndoa yetu ina miaka 20 ama zaidi, siku atakayoenda huko ndiyo siku tutatengana vyumba.
Wale sio Watumishi, ila matapeli ya Mjini
Ni ujinga kabisaKweli kabisa, mtu una shule na exposure lakini unadanganywa na tapeli Mwamposa baba la matapeli.