Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni. Eti Askofu Gwajima anataka kuwapeleka Tokyo Japan wacheza rede wa Msasani

Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni. Eti Askofu Gwajima anataka kuwapeleka Tokyo Japan wacheza rede wa Msasani

Apongezwe kwa kuona mbali. Rede, linafaa kuwepo kwenye Olympics

Upo umuhimu wa kuanza kujivunia michezo, na sanaa zetu wenyewe.

Nitawaachia nyie wabobezi wa tabia zake muendelee kumjadili badala ya kujadili jambo safi analotaka kulifanya.
 
Amegundua wapiga kula wake wengi, ni mazuzu! Hawana passport, lakini wanaamini wataenda Japan! Hata Iringa, Arusha hawajawahi fika Ila wanaamini Asia watafika?
 
Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.

Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?

Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.

Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na Rashidi ndio jina lake.

Gwajima pia ameshawahi kusema amenunua treni kwa fedha taslimu.

Hivi huwa uwongo unamsaidia nini?
Ameshajua uwezo wenu
 
Shida sio yeye ni wale wanaomsikiliza na kumwamini, akikosa mtu wa kumsikiliza atakaa kimya
 
Ukikutana na kamtu kafupi alafu kana confidence basi tunakuwaga tuongo sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Screenshot_20231012-205735_Instagram Lite.jpg
shida ya watu wafupi ilianzia hapa kukosa lishe bora kumefanya akili isiwe sawa
 
Yaani mi mpaka nilishawapiga marufuku hapa kwangu kufungua hizo channels za akina Mwamposa lakini wapi, kuna tatizo kubwa sana.
Nahisi wanatumia nguvu za ziada kuwakamata watu.

Binafsi nilimwambia Wife akitaka niachane naye aanze kwenda kuabudu kwa hao watumishi.

Haijalishi ndoa yetu ina miaka 20 ama zaidi, siku atakayoenda huko ndiyo siku tutatengana vyumba.

Wale sio Watumishi, ila matapeli ya Mjini
 
Kweli kabisa, mtu una shule na exposure lakini unadanganywa na tapeli Mwamposa baba la matapeli.
 
Aiseeeeeee. Naona akina mama omary wanapiga mazoezi balaa, kumbe kuna kwenda japan ukiacha mil.1 kwa mshindi. Karibu sana matunda Bar
 
Kweli kabisa, mtu una shule na exposure lakini unadanganywa na tapeli Mwamposa baba la matapeli.
Ni ujinga kabisa

Ila nimegundua wale jamaa wanatumia dawa za mvuto kuwafanya waumini wawe ndondocha.

Ingawa pia stress miongoni mwetu zinafanya wengi waendelee kuwa wafuasi wao
 
Back
Top Bottom