Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

Wana zengwe

Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi sana.

Sehemu kubwa ya raia ni vichaa, askikuambie mtu, mbaya zaidi uwawekee raia kioo, au vioo, alafu uangalie mambo wanayoyafanya wakidhani wako wenyewe, yaani ni uchizi mwingi sana. Kama unabisha embu jaribu kumuacha mtu unayedhani unamuheshimu, muache mwenyewe alafu mu-observe matendo yake kwenye camera, nakwambia utashangaa. Uchizi ni mwingi sana
Watu wengi ni kama Chizi Maarifa
 
always i believe, life was not meant to be nor to exit....life rose just by an accident neither it was created nor planned.....

that is why we live with full of problems, unanswerable questions, trauma and total madness.....

we only live, just because we fear to take our own lives.
 
Back
Top Bottom