Ameandika kiungwana.Ngoja nikuandikie mimi.
-kuing'oa nguo iliyong'ang'ania katikati ya matako.
-kuingiza mkono usawa wa kibofu na kuanza kujikuna uke/uume.
-kuhojiwa live/mubashar kwenye teevee halafu unabanduabandua makamasi puani halafu unayaangalia na kuyapuliza kwa pozi.
-kupita karibu na nyumba yenye vioo tinted halafu unatengeneza flaizi na kujaribu kupiga masterbation.
Hapo vipi?