Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #101
Asante Mkuu Faida nyengine hii hapa ya huu Mti wa Mrehani soma hapa chini Mkuu.
Jamani kwa wale wakwetu mmea huu si unaitwa MAZENYE au nakosea na kazi yake ni kuoshea mizinga ya nyuki kutokana na harufu yake ni kwamba husaidia kuita nyuki ili waje kwenye mzinga
Pia huwa tunayatumia kama dawa ya utitiri kwa wale tunafuga kuku wakienyeji vipindi vya joto kali utitiri majumbani huwa ni mwingi mno kwahiyo unatumia mea huu kwa kuweka kwenye kona zote za banda la kuku au hata kwenye kona za nyumba yako baada ya masaa 6 unayakusanya na kuyatoa nje then unafagia nyumba yako wadudu wote kwishney
MKUU NASHUKURU SANA KWA DAWA HII
Kwani kutafuna unashindwa kwanini? wakati majani ni dawa? unaweza kuchemsha ila kama utakula kama kachumbari japo jani moja kwa siku sio mbaya.Angalia picha majni yamekaushwa yamekuwa makavu kwa ajili ya dawa.
Ukitaka usiumwe fanya hivi kila siku:
unapo amka asubuhi kula tunda la tufaha (apple) hutoweza kuonana daktari siku nzima.
kula jani la mrehani au punje 1 ya kitunguu saumu hutapata ugonjwa kansa saratani.
kunywa asubuhi juisi ya lemon asubuhi hutapata unene.
kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
kunywa maji ya uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.
Jani la Mrehani (Tulsi Lef or Holy Basil)
hivi vyote natakiwa nivile hiyo asubuhi kwa mara moja?
Ndio unaweza kula pamoja na ukiweza pia usiku uwe unakula itakuwa vizuri zaidi.Ukitaka usiumwe fanya hivi kila siku:
unapo amka asubuhi kula tunda la tufaha (apple) hutoweza kuonana daktari siku nzima.
kula jani la mrehani au punje 1 ya kitunguu saumu hutapata ugonjwa kansa saratani.
kunywa asubuhi juisi ya lemon asubuhi hutapata unene.
kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
kunywa maji ya uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.
Jani la Mrehani (Tulsi Lef or Holy Basil)
hivi vyote natakiwa nivile hiyo asubuhi kwa mara moja?
Asante MziziMkavu somo limeeleweka japo hayo majani kwa hapa dar ni vigumu kuyapta.
ni muhimu tujali afya zetu ntatumia
Yako mengi tu
Umepatia dada yng! Kwa pwani wanayaita Sijui mpoza jini?
Ila mi Nataka dawa ya kuruka na ungo! Maana mi niko kimila Zaidi!
nisaidie mdau yapo maeneo gani naweza kupata
Malumbalumba!
mkuu,sidhani kama ni malumbalumba hayo. Tuendelee kulitafuta tu jina lake.
hayo majani ka nayafahamu vile..yanaitwa malumba sezae Ntuzu nimepatia?
Ukitaka usiumwe fanya hivi kila siku:
unapo amka asubuhi kula tunda la tufaha (apple) hutoweza kuonana daktari siku nzima.
kula jani la mrehani au punje 1 ya kitunguu saumu hutapata ugonjwa kansa saratani.
kunywa asubuhi juisi ya lemon asubuhi hutapata unene.
kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
kunywa maji ya uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.
Jani la Mrehani (Tulsi Lef or Holy Basil)
Mti wa Mrehani (Tulsi Tree or Holy Basil)
Malumbalumba!
Harufu yake mbaya namna hii utakula kweli