Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #101
Asante Mkuu Faida nyengine hii hapa ya huu Mti wa Mrehani soma hapa chini Mkuu.![]()
Jamani kwa wale wakwetu mmea huu si unaitwa MAZENYE au nakosea na kazi yake ni kuoshea mizinga ya nyuki kutokana na harufu yake ni kwamba husaidia kuita nyuki ili waje kwenye mzinga
Pia huwa tunayatumia kama dawa ya utitiri kwa wale tunafuga kuku wakienyeji vipindi vya joto kali utitiri majumbani huwa ni mwingi mno kwahiyo unatumia mea huu kwa kuweka kwenye kona zote za banda la kuku au hata kwenye kona za nyumba yako baada ya masaa 6 unayakusanya na kuyatoa nje then unafagia nyumba yako wadudu wote kwishney
MKUU NASHUKURU SANA KWA DAWA HII