Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Ukitaka usiumwe fanya hivi kila siku:

unapo amka asubuhi kula tunda la tufaha (apple) hutoweza kuonana daktari siku nzima.

kula jani la mrehani au punje 1 ya kitunguu saumu hutapata ugonjwa kansa saratani.

kunywa asubuhi juisi ya lemon asubuhi hutapata unene.

kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.

kunywa maji ya uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.

1625689_10153812102565198_829964520_n.jpg

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

attachment.php

Jani la Mrehani (Tulsi Lef or Holy Basil)

attachment.php

Mti wa Mrehani (Tulsi Tree or Holy Basil)
 
Attachments

  • TULSI_LEAF.jpg
    TULSI_LEAF.jpg
    44.4 KB · Views: 7,588
  • Tulsi-Plant.jpg
    Tulsi-Plant.jpg
    47.8 KB · Views: 7,876
UKITAKA USIUMWE FANYA HIVI KILA SIKU:

Unapo amka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima.

Kula jani la Mrehani Au punje 1 ya Kitunguu Saumu hutapata ugonjwa kansa Saratani.

Kunywa asubuhi juisi ya lemon asubuhi hutapata unene.

Kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.

Kunywa Maji ya Uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.

1625689_10153812102565198_829964520_n.jpg

800px-Italian_garlic_PDO.JPG

attachment.php

Jani la Mrehani (Tulsi Lef or Holy Basil)

attachment.php

Mti wa Mrehani (Tulsi Tree or Holy Basil)

mkuu madakitari wafutwe kazi??????????????????????
 
hayo majani ka nayafahamu vile..yanaitwa malumba sezae Ntuzu nimepatia?

Umepatia dada yng! Kwa pwani wanayaita Sijui mpoza jini?

Ila mi Nataka dawa ya kuruka na ungo! Maana mi niko kimila Zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Mzee wng MziziMkavu aksante sn kwa somo zuri. Na km ungependa kupata mambo mengine ktk swala km hili la afya Na vitu asili tafuta kitabu kiitwacho Turejee Eden cha Ellen G White. Utapata mambo mengi humo mazuri sn!

Asante sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
haya ni dawa ya mbu halafu..
ukiipata hiyo dawa ukiruka usisite kuja na ile vits

Hiyo sio dawa ya mbu tu! Ina mambo mengi sn! Ukitembea kwa wazee Wa kimila hayo majani mpk mizizi yake hutumika kwa mambo mengi! Ata kwa matatizo ya watoto Km kushituka etc. Watu hutumia kuwaogeshea!

Ndege zimepanda sn bei! Ata ujio Wa FastJet nao haujatusaidia kitu! Bora nijimilikishe kaungo kangu. Gamboshi mpk Dar ni kufumba na kufumbua macho!
 
hiyo sio dawa ya mbu tu! Ina mambo mengi sn! Ukitembea kwa wazee wa kimila hayo majani mpk mizizi yake hutumika kwa mambo mengi! Ata kwa matatizo ya watoto km kushituka etc. Watu hutumia kuwaogeshea!

Ndege zimepanda sn bei! Ata ujio wa fastjet nao haujatusaidia kitu! Bora nijimilikishe kaungo kangu. Gamboshi mpk dar ni kufumba na kufumbua macho!
haya majani yanapatikana wapi hapa nchini kwetu?
 
attachment.php

Jamani kwa wale wakwetu mmea huu si unaitwa MAZENYE au nakosea na kazi yake ni kuoshea mizinga ya nyuki kutokana na harufu yake ni kwamba husaidia kuita nyuki ili waje kwenye mzinga
Pia huwa tunayatumia kama dawa ya utitiri kwa wale tunafuga kuku wakienyeji vipindi vya joto kali utitiri majumbani huwa ni mwingi mno kwahiyo unatumia mea huu kwa kuweka kwenye kona zote za banda la kuku au hata kwenye kona za nyumba yako baada ya masaa 6 unayakusanya na kuyatoa nje then unafagia nyumba yako wadudu wote kwishney
MKUU NASHUKURU SANA KWA DAWA HII
 
Mkuu safi sana,umedadavua vizuri sana!
 
Back
Top Bottom