Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

asee..basi bibi yangu mtaalamu sana asee..ilikuaga ikifika usiku anayaunguza yanatoa harufu mbaya lakini mbu hasogei
Hiyo sio dawa ya mbu tu! Ina mambo mengi sn! Ukitembea kwa wazee Wa kimila hayo majani mpk mizizi yake hutumika kwa mambo mengi! Ata kwa matatizo ya watoto Km kushituka etc. Watu hutumia kuwaogeshea!

Ndege zimepanda sn bei! Ata ujio Wa FastJet nao haujatusaidia kitu! Bora nijimilikishe kaungo kangu. Gamboshi mpk Dar ni kufumba na kufumbua macho!
 
Mzee wng MziziMkavu aksante sn kwa somo zuri. Na km ungependa kupata mambo mengine ktk swala km hili la afya Na vitu asili tafuta kitabu kiitwacho Turejee Eden cha Ellen G White. Utapata mambo mengi humo mazuri sn!

Asante sn Mkuu!
Mkuu mbona mnakuwa wagumu kuelewa Wazee mwisho Chalinze!
 
haya majani yanapatikana wapi hapa nchini kwetu?

Karibu sehemu yote ya Tz. Ishu inakuja baadhi ya maeneo huo mrehani Sizani km wanaufahamu km mrehani! Kwa mfano Kwetu Sisi Wasukuma tunauita mlumba lumba. Kwahiyo unaweza ukaja kwa jina la mrehani ktk jamii ya kisukuma Lkn wasikuelewe. Ila ukija na mlumba, Wengi watauelewa na watakupatia hayo majani Au huo mmea!

Labda tungemuomba Mkuu MziziMkavu atasuidie majina kwa uchache mengine yanayotumika kuuita mrehani kutokana na jamii mbalimbali!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu basi umemaliza kazi mlumba lumba naufahamu sana hata kwetu unyamwezini upo wa kutosha!
 
Mkuu basi umemaliza kazi mlumba lumba naufahamu sana hata kwetu unyamwezini upo wa kutosha!

Umeona? Ukipita ile mitaa ya Ng'ambo ukavuka kidogo km unakwenda Kazehill kabla ya kwenda kule TUKUTUKU utayapata mengi tu. Au sio Mwana wane?
 
Last edited by a moderator:
nadhani kiwango hicho hajafika..anavonipenda angeshanidokeza..lol

Nakutania tu ilomboye! Lkn wabibi wana siri Wewe?!!!

Ila hayo majani ni dawa kwa mambo mengi! Na watu Wa zamani km Mabibi zetu waliyatumia sn ktk mambo km dawa ya mbu etc.
 
living healthy can sometimes kill u.

Haaaa haaaaa haaaaa umetisha ,, umenkumbusha kipindi nasoma marketing Mwl alitwambia assume Unaomba kazi kampuni ya fegi Kama marketing officer , sasa unatakiwa kuwashawishi wateja wavute fegi kwa wingi wakati wao wanajua Kabisa zina madhara , swali likawa ni je ungewaambiaje wateja wako ?...

Mwisho ikaonekana hata Kama zina madhara but all in all life is fun , life is interesting , so in order to live health u also need to live an interesting life, full of fun !,
 
How!justify your statement!
when u pay too much attention on what u eat, what u drink,household hygiene and all those bunch of healthy stuffs. u gona find out that u r no longer trusting anyone or anything. u will avoid contact coz of bacteria, u wont use hotel food coz u wont trust if it cooked well, u wont sleep in a hotel coz u dont trust their sheets, u wont eat apples coz u think they are genetically modified, u wont eat cereals scaring of getting fat, u wont watch tv it will destroy ur eyes, u wont go out and have fun with friends at night because u must be at bed on 2400, u wont have sex coz u will contant STI's, u wont go to swim in a pool there skin infections and people pee inside, just to say the list......

Now u can imagine how happy life is when u dont give a shhittttt abt living healthy addiction.

OR CHECK THIS GUY [h=1]AJ Jacobs: How healthy living nearly killed me.[/h]
 
Back
Top Bottom