mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
asee..basi bibi yangu mtaalamu sana asee..ilikuaga ikifika usiku anayaunguza yanatoa harufu mbaya lakini mbu hasogei
Hiyo sio dawa ya mbu tu! Ina mambo mengi sn! Ukitembea kwa wazee Wa kimila hayo majani mpk mizizi yake hutumika kwa mambo mengi! Ata kwa matatizo ya watoto Km kushituka etc. Watu hutumia kuwaogeshea!
Ndege zimepanda sn bei! Ata ujio Wa FastJet nao haujatusaidia kitu! Bora nijimilikishe kaungo kangu. Gamboshi mpk Dar ni kufumba na kufumbua macho!