G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.
Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.