Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

mzee baba

una akili timamu?

kampeni maana yake ni "marketing" activity ya kitu unakiuza kwa wananchi...ni literarily bidhaa unaiuza kwa wananchi wainunue

marketing hatutumii litereal meanings mkuu

na unachosema si sahihi...

kuna kitabu kinaitwa "Kuvunja Ungo"....

bila kusoma ndani huwezi jua ana maana gani haswa!

kwahiyo ujinga wa kusema eti kichwa cha habari kinabeba kila kitu ni kukoswa na akili mtupu hapo

ingekua hivyo ni kichwa cha habari watu wangekua hawasomi vitabu at all,wangekua wanasoma vichwa vya habari pekee yake

Jon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa

watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado

all this No reforms no election ni ugomvi wa tafsiri yake tu,ndio ugomvi ulipotokea,which it was not neccesary kabisa!
Nimezungumzia uandishi Kwa ujumla. Heading inabeba content hata iwe Kwa lugha ya picha haijalishi inalenga nini. Vinginevyo ni Ignorance and Ignorance has no boundaries inawapata hata wale walio na dhamana ktk jamii. Na dhamana Yao haijustify ignorance Yao kuwa halali 😫

Wenye akili timamu ndio Sasa Wana actualize kile kinachomaanishwa kwenye hiyo sera Yao.

Hizo ni blabla. you need only a single minute is enough to express your content from it's heading only.

Ukiona unashindwa jua hamna kitu hapo. Hatuhitaji maelezo mengi tena yanayojipinga na kichwa.

Hata matangazo hayo huwa mafupi sana yanayoeleweka. Kwa maneno machache.

Acha ujuaji na blabla we don't have time to hire nonsenses🤣.

Acha kujificha kwenye tafsiri. Ilihitajika kiswahili kwasababu ndio lugha ya hadhira Wala si kukwepesha maana.
 
Nimezungumzia uandishi Kwa ujumla. Heading inabeba content hata iwe Kwa lugha ya picha haijalishi inalenga nini. Vinginevyo ni Ignorance and Ignorance has no boundaries inawapata hata wale walio na dhamana ktk jamii. Na dhamana Yao haijustify ignorance Yao kuwa halali 😫
wewe hata hadhi ya ignorance huna,maana hadhi hiyo ukieleweshwa inaondoka...

wewe una "upumbavu"...hua hauondokagi,ni kipaji kama vipaji vingine

mkuu,vichwa vya habari havina content ya story

vichwa vya habari kazi yake ni "kukuvutia uanze kusoma story nzima" na wala sio kukupa content ya story nzima kama unavyoharisha hapa

story ina kichwa cha habari "kuvunja ungo"..

what the fvck do you get contents of the whole story kutoka kwenye hayo maneno mawili hapo?

ni maneno ya kukuvutia ili usome ujue nini hasa anamaanisha!

Wenye akili timamu ndio Sasa Wana actualize kile kinachomaanishwa kwenye hiyo sera Yao.
mkuu sera nzima inadocument yake,iliandikwa na consultant na akina Mrema waliweka inputs zao,inaeleweka document.

haisemi kuna kususia uchaguzi kwa 100%

wewe kama umetafsiri ni kususia 100% na wao wanasema document haisemi hivyo,that does not make you correct au mwenye akili sana

ni wote mna utafsiri tofauti

je ni wewe upo sahihi,document ndio itasema....ni wao wapo sahihi,document ndio itasema

kujiita mwenye akili kwa kutoa tafsiri yako si kweli una akili kama unavyowaza,ni opinion kama opinion zingine

Hizo ni blabla. you need only a single minute is enough to express your content from it's heading only.
kwa concept yako hii inaonesha literature ulipata sifuri shule!

huwezi pata content nzima ya habari kwa kichwa cha habari mkuu,your head is in deep shit!

namna hiyo basi haina haja ya kusoma story nzima sasa,which is not true!
Ukiona unashindwa jua hamna kitu hapo. Hatuhitaji maelezo mengi tena yanayojipinga na kichwa.
acha kujitetea na headings mkuu

wewe ushatafsiri NRNE kama mungu wako Lissu alivyowatafsiria

mmeibeba hivyo hivyo,ni uchaguzi wenu

acha kuita wengine wajinga au wewe upo sahihi sana maana all these ni matter of tafsiri

wewe ushaenda dna tafsiri yenu acha kuipamba sana kana kwamba ndio sahihi sana na wengine sio sahihi wakati ni opinion kama wao wanavyotoa zao

kazi ya kutafsiri na kuwa convince wanachama wote nei ya viongozi cha ajabu mumeishindwa 50% tu wamewafata,another 50% wameelewa kutokana na document tena waliijenga wao wao

Acha ujuaji na blabla we don't have time to hire nonsenses🤣.
una blablah kama mimi ndio maana tupo hapa mimi na wewe tunafanya blah blah

cha ajabu nyani haoni kundule unajipa cheo cha kuniambia mwana blah blah mwenzio niache blah blah,who the greedy ass fucker are you?

Acha kujificha kwenye tafsiri. Ilihitajika kiswahili kwasababu ndio lugha ya hadhira Wala si kukwepesha maana.
unazidi onyesha ujinga mwingi zaidi

kufanya translation kutoka lugha moja kwenda lugha ingine hiyo inaitwa translation sio Meaning!

cha ajabu kumamayo nyie mnadhani kutoa lugha hii na kupeleka lugha ile ni meaning,sio kweli ndugu!

meaning unaipata kwa kusoma document nzima na kuelewa

sio kichwa cha habari halafu unaenda kunya,contents zingine asome nani?

ndio maana taifa limerudi nyuma wasomi wetu hawasomi vitabu wanasoma vichwa vya habari tu na kuondoka....fvck you lousy motherfvckers!
 
Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.

Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.

Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.

Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
Mrema alitakiwa anyooshe maneno...
Kwamba tulikuwa tuna bet!

Maafisa ubashiri waliochangamka!
NRNE!
 
Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.

Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.

Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.

Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
Hapo CCM ndipo walipoenda kuwekeza mabilion kuivuruga Chadema!🤣🤣
 
Jon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa
Kama huwezi ku 'define'' kitu unawezaje kukitolea ufafanuzi! Tusaidie kuelewa tafadhali
Watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado
Mrema alitakiwa kwanza afanye translation , hakufanya. Pili, alitakiwa aeleze maana halisi (meaning) hakufanya! kisha afanye analysis! Hakufanya.

Kusema NENR ni kukusanya watu wa makundi mbali mbali ni kichekesho na imedhalilisha sana! Kama akili zina nguo, yeye alivua nguo inayositiri akili yake.

''Career politician'' anaposhindwa kujibu swali rahisi, imemdhalilisha sana!

JokaKuu

Mrema kanjanja mtupu, Ameshindwa kutafsiri No Reforms No Election kwa Kiswahili amebaki anaruka ruka tu kama maharage ambayo hayajaiva jikoni.
Tungepata clip mkuu🤣
 
Mrema alitakiwa kwanza afanye translation , hakufanya. Pili, alitakiwa aeleze maana halisi (meaning) hakufanya! kisha afanye analysis! Hakufanya.
hapana

kufanya translation sio kazi yake

ni kazi ya professional translators sio yake wala yako

pili,transalations za kupeleka wapi wakati watz oficial language yetu ni kingereza?

wananchi hawajui kingereza,wamekuambia lini?

wanazungumza kiswahili yes,ila hawajawahi sema hawajui kingereza

kitu kibaki kwenye original language yake,na hata kutafsiri ni kwa certified professionals wa translations ndio wafanye

na translation sio meaning...meaning ya ile kauli mbiu na mpango wa kuutekeleza mpaka mwisho upo kwenye document ya mkakati,hakuna mahali mkakati umesema kususia uchaguzi

nyie mmetafsiri kususia,which is okay,susiaeni its your own choice,ndio maana wameenda pengine ambao hawasusi..sioni tatizo
Kusema NENR ni kukusanya watu wa makundi mbali mbali ni kichekesho na imedhalilisha sana! Kama akili zina nguo, yeye alivua nguo inayositiri akili yake.
unafanyeje NRNE bila kua na makundi yote kama alliance?

una malaria ya hali ya juu kudhani chadema pekee yake ndio wanaweza fanikisha NRNE.....

maana usipokua na alliance wengine wanafanya wanavyojua wao which beats the meaning of what you want!

ndio tatizo la nyie na akina LIssu,akiambiwa shirikiana na ACT yeye anajibu "ili iweje" as if anaweza endesha NRNE bila vyama vingine 17 na taasisi zingine,HUWEZI

strategic alliances ni kitu muhimu,ila mungu wenu Lissu na nyie mnadhani chadema inaweza yenyewe nyie kama nyie,fools!

''Career politician'' anaposhindwa kujibu swali rahisi, imemdhalilisha sana!
wote ni politicians,kuanzia Lissu na kila mtu kwenye camp yenu.....

Mrema kajibu kwa usahihi kabisa hakuna alipokosea

kwsababu mna emotions za ajabu sana,hamuoni hoja mnaona matusi ndio cha maana...which does not make any sense

yaani how do you fault a normal politician kwa kazi ya ku translate sentensi moja kutoka lugha moja kwenda ingine as yeye ni professional translator?

na meaning ya ile kampeni huipati kwenye kutranslate ndio maana alikwambia kabisa "utapotea" kama unaenda kutafuta meaning kwenye translation la lugha

shida yenu akili zenu ndogo sana
 
hapana

kufanya translation sio kazi yake

ni kazi ya professional translators sio yake wala yako

pili,transalations za kupeleka wapi wakati watz oficial language yetu ni kingereza?

wananchi hawajui kingereza,wamekuambia lini?

wanazungumza kiswahili yes,ila hawajawahi sema hawajui kingereza

kitu kibaki kwenye original language yake,na hata kutafsiri ni kwa certified professionals wa translations ndio wafanye

na translation sio meaning...meaning ya ile kauli mbiu na mpango wa kuutekeleza mpaka mwisho upo kwenye document ya mkakati,hakuna mahali mkakati umesema kususia uchaguzi

nyie mmetafsiri kususia,which is okay,susiaeni its your own choice,ndio maana wameenda pengine ambao hawasusi..sioni tatizo

unafanyeje NRNE bila kua na makundi yote kama alliance?

una malaria ya hali ya juu kudhani chadema pekee yake ndio wanaweza fanikisha NRNE.....

maana usipokua na alliance wengine wanafanya wanavyojua wao which beats the meaning of what you want!

ndio tatizo la nyie na akina LIssu,akiambiwa shirikiana na ACT yeye anajibu "ili iweje" as if anaweza endesha NRNE bila vyama vingine 17 na taasisi zingine,HUWEZI

strategic alliances ni kitu muhimu,ila mungu wenu Lissu na nyie mnadhani chadema inaweza yenyewe nyie kama nyie,fools!

wote ni politicians,kuanzia Lissu na kila mtu kwenye camp yenu.....
Kuna politician na Career politician, Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya uenezi CHADEMA
Mrema kajibu kwa usahihi kabisa hakuna alipokosea
Hakuweza kujibu! na kama alijibu alibaki kujiuma uma! ni dhalili sana ! mpaka namuonea huruma
kwsababu mna emotions za ajabu sana,hamuoni hoja mnaona matusi ndio cha maana...which does not make any sense
Hapana hakuna emotion, kuna hoja.
yaani how do you fault a normal politician kwa kazi ya ku translate sentensi moja kutoka lugha moja kwenda ingine as yeye ni professional translator?
Hapa ndipo unakosea. Professional translator ana mahali pake hasa katika eneo linaloweza kuwa na tatizo la kisheria. Mfano, nyaraka au kauli za kisheria na Kitabibu n.k.

Mrema alikuwa mwenezi lazima ajue kanuni za ''communication'' . Kwamba anapoongelea NRNE anaongea na public hivyo lugha yake inatakiwa iakisi audience yake.
Ikiwa hawezi ku define anachokieleza hiyo ni failure . Kwa maneno mengine hawezi ku communicate!

na meaning ya ile kampeni huipati kwenye kutranslate ndio maana alikwambia kabisa "utapotea" kama unaenda kutafuta meaning kwenye translation la lugha
Kuna sababu kwanini mwandishi alimuuliza, na kuna sababu kwanini Mrema alikwepa.
Kama hakukwepa huyu atakuwa bubusa sana, of course ni bubusua but to what extent! hilo ndilo swali
shida yenu akili zenu ndogo sana
Si ndogo kuliko ya Mrema! huyu amejipaka kinyeshi mbele ya TV! so sad.
 
Kuna politician na Career politician, Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya uenezi CHADEMA
lema,heche,mbowe,lissu,etc hawa wanafanya siasa mwaka wa 30 huu

spare me with this nonsense

all are career politicians!

Hakuweza kujibu! na kama alijibu alibaki kujiuma uma! ni dhalili sana ! mpaka namuonea huruma
alijibu kwa usahihi

mwandishi ndio akili ndogo kama wewe kudhani meaning inapatikana kwenye translations za lugha badala ya kusoma document na kuelewa mkakati ulivyo

taifa linarudi nyuma kwenye mikataba na vitu vingine kwa watu wajinga kama nyie mnaosoma vichwa vya habari vya mikataba!

bure kabisa
Hapana hakuna emotion, kuna hoja.
hakuna hoja

kuna emotions ndio maana kuna matusi

emotions=matusi!
Hapa ndipo unakosea. Professional translator ana mahali pake hasa katika eneo linaloweza kuwa na tatizo la kisheria. Mfano, nyaraka au kauli za kisheria na Kitabibu n.k.

Mrema alikuwa mwenezi lazima ajue kanuni za ''communication'' . Kwamba anapoongelea NRNE anaongea na public hivyo lugha yake inatakiwa iakisi audience yake.
Ikiwa hawezi ku define anachokieleza hiyo ni failure . Kwa maneno mengine hawezi ku communicate!
mkuu

mrema ni best communicator na orator

hana kelele na wala hana mihemko

anaongea kwa utulivu na kwa lugha sahihi na misamiati sawia kabisa

document ya kampeni ya M4C uliipitia na kuisoma zamani zile?

M4C ni lugha ya kingereza,hakuna hata siku moja mtu yeyote alishaomba hii itafsiriwe iende kwenye kiswahili

ila kampeni ilifanyika vizuri according to the document ya mkakati

hii NRNE leo eti kuna vichaa wanataka itafsiriwe iwe kiswahili kwanza which will lose all its meaning to suit them

nyie mshachagua meaning yenu,stick into that....

wao walifata meaning ya document,wamestick kule

kuanza kuwa judge eti nyie ndio mna akili sana wao hawana akili wakati ni meanings mbili kila mmoja kachague yake ni aina fulani ya ukichaa

uzuri walihamua hadi na kuhama ili wasiwavurugieni meaning mliyoamua ichukua

which is okay,waacheni
Kuna sababu kwanini mwandishi alimuuliza, na kuna sababu kwanini Mrema alikwepa.
Kama hakukwepa huyu atakuwa bubusa sana, of course ni bubusua but to what extent! hilo ndilo swali
sababu ya mwandishi kuuliza translation ni ya ujinga

mwandishi ishu yenyewe haielewi

yeye kafata mrengo wenu wa kutafsiri kwa kiswahili ndio mpate meaning hapo

wakati yeye meaning yao wanaipata kwenye document na sio language translation

kichaa tu yule kama nyie wafuasi wa Lissu mlivyo vichaa
 
lema,heche,mbowe,lissu,etc hawa wanafanya siasa mwaka wa 30 huu
Mbowe ni mfanyabiashara, Lissu alikuwa Mwanasheria ndipo alipoanzia siasa. Lema ni Mfanyabiashara
Heche alikuwa Mwalimu. Kigaila, Mrema na Salum ni career politician ndicho kilichowakimbiza.
mwandishi ndio akili ndogo kama wewe kudhani meaning inapatikana kwenye translations za lugha badala ya kusoma document na kuelewa mkakati ulivyo
Definition ya kitu kwanza, halafu meaning inafuata. Mrema anasema NRNE maana yake ni kukusanya Watu wa makundi mbali mbali!! umeelewa nini hapo?
taifa linarudi nyuma kwenye mikataba na vitu vingine kwa watu wajinga kama nyie mnaosoma vichwa vya habari vya mikataba!bure kabisa
Uisghadhabike! Taifa lina tatizo kwa kuwa na viongozi kama Mrema! mtu asiweza ku define anachokieleza
mrema ni best communicator na orator hana kelele na wala hana mihemko anaongea kwa utulivu na kwa lugha sahihi na misamiati sawia kabisa
Hapana hayupo miongoni mwa Orator. Moja ya sifa ya Orator ni effective communication akienda pamoja na audience.

Leo Umma umetaharuki kwasababu haukumwelewa Mrema, huyo hawezi kuwa Orator.

Jana alionekana kama mtoto anayejifunza kuongea! ba ba, ma , mmna da.! Tazama video utamuonea huruma. Mara ya kwanza nilitaharuki lakini sasa namuonea huruma! Anatafuta mkate, dhalili si muhimu!
document ya kampeni ya M4C uliipitia na kuisoma zamani zile?
M4C ni lugha ya kingereza,hakuna hata siku moja mtu yeyote alishaomba hii itafsiriwe iende kwenye kiswahili
ila kampeni ilifanyika vizuri according to the document ya mkakati
Sijaipitia!
hii NRNE leo eti kuna vichaa wanataka itafsiriwe iwe kiswahili kwanza which will lose all its meaning to suit them
Hakuna aliyejua kuna document, watu wanataka kujua NRNE kwa lugha ya kiswahili ni kitu gani? definition kwanza ili atoe maelezo. Definition na description ni vitu tofauti, of course hakuwa na hata kimoja zaidi ya kujiuma uma! It was pathetic the least to say. Muonee huruma, huyu ni Mume wa Mtu na Baba! Anapokuwa katika public katika hali ile anahitaji huruma, please !
kuanza kuwa judge eti nyie ndio mna akili sana wao hawana akili wakati ni meanings mbili kila mmoja kachague yake ni aina fulani ya ukichaa
Hapana! alichotakiwa ni ku define, hakuweza. Alifanikiwa kujiuma uma! so sad
sababu ya mwandishi kuuliza translation ni ya ujinga
Mwandishi ni 'brilliant'' alitaka definition ili Mrema ajibu yanayofuata! Mrema akajiuma uma !
mwandishi ishu yenyewe haielewi
Ni wajibu wa Mrema kumwelesha. Pa kuanzia ni pale pa definition ambapo mwandishi hakujua
Mrema kaingia na kujiuma uma! so sad. Huyu jamaa kadhalilika sana
wakati yeye meaning yao wanaipata kwenye document na sio language translation
Mwandishi alitaka kujua, kwa kiswahili NRNE inatafsiriwa vipi, hakuhitaji maelezo ya Makuweni Kenya
Badala ya kufanya mawasiliano yeye akaanz kutueleza kikao cha Makuweni, hakujibu hoja.
Disaster! amedhalilika sana
kichaa tu yule kama nyie wafuasi wa Lissu mlivyo vichaa
Hapana hatujadili watu tunajadili hoja za watu.
 
Hiyo ndo aina ya viongozi ambao wametengenezwa na chadema, anyway yule mwandishi nae lazima atakuwa chadema mwenye hasira kali dhidi yao mana sio kwa kumshindilia vile 🙌
 
Mbowe ni mfanyabiashara, Lissu alikuwa Mwanasheria ndipo alipoanzia siasa. Lema ni Mfanyabiashara
Heche alikuwa Mwalimu. Kigaila, Mrema na Salum ni career politician ndicho kilichowakimbiza.
Mrema ni mfanyabiashara na mkulima

what the fvck are you trying to say?
Hapana hayupo miongoni mwa Orator. Moja ya sifa ya Orator ni effective communication akienda pamoja na audience.

Leo Umma umetaharuki kwasababu haukumwelewa Mrema, huyo hawezi kuwa Orator.

Jana alionekana kama mtoto anayejifunza kuongea! ba ba, ma , mmna da.! Tazama video utamuonea huruma. Mara ya kwanza nilitaharuki lakini sasa namuonea huruma! Anatafuta mkate, dhalili si muhimu!
ni best orator

umeona maoni kua sio best,na mimi nasema best

two niggas trying to kill others just because of their opinions

these are just opinions mzee

kaa na opinion yako na mimi nikae na yangu
Hakuna aliyejua kuna document, watu wanataka kujua NRNE kwa lugha ya kiswahili ni kitu gani? definition kwanza ili atoe maelezo. Definition na description ni vitu tofauti, of course hakuwa na hata kimoja zaidi ya kujiuma uma! It was pathetic the least to say. Muonee huruma, huyu ni Mume wa Mtu na Baba! Anapokuwa katika public katika hali ile anahitaji huruma, please !
kajieleza vizuri kabisa

katoa maana ya NRNE meaning yake,tena kutoka kwenye documente ya mkakati wa hiyo kampeni

nyie mnatoa meaning kwenye kichwa cha habari

big differnce

ndio maana mnafeli shule,mikataba,overall dev judgements

ndio maana wakenya wanatuzidi kila siku

solution ni details na sio vichwa vya habari
Hapana! alichotakiwa ni ku define, hakuweza. Alifanikiwa kujiuma uma! so sad
amedefine vizuri na kuelezea mkakati wake kwa ndani

wewe kama definition shule ulifundishwa ni kubadili lugha kua lugha ingine my friend utakua maiti

unaambiwa "define matter".....wewe unaandika definition ya matter=maada....wrong!

definition of matter is anything which occupies space and has weight/mass....sio ukichaa wa matter=maada!
Ni wajibu wa Mrema kumwelesha. Pa kuanzia ni pale pa definition ambapo mwandishi hakujua
Mrema kaingia na kujiuma uma! so sad. Huyu jamaa kadhalilika sana
ni vituko vya karne kudhani definition ni translation ya neno toke english kwenda kiswahili

vichaa ni wengi na wewe ni mmoja wao
Mwandishi alitaka kujua, kwa kiswahili NRNE inatafsiriwa vipi, hakuhitaji maelezo ya Makuweni Kenya
Badala ya kufanya mawasiliano yeye akaanz kutueleza kikao cha Makuweni, hakujibu hoja.
Disaster! amedhalilika sana
mrema yupo sahihi

na katoa maelezo yake kwa usahihi

wewe unataka aelezee NRNE unataka akujibu unavyotaka wewe,basi jijibu mwenyewe!

yeye kaanza mwanzo ilipotokea na wholistically ina maana gani maana ukichukua kichwa cha habari unapotea

na alisema vizuri kabisa

aliedhalilika ni mwandishi anaetaka ajibiwe majibu anayoyataka yeye badala ya anayotaka mjibuji,otherewise angejijibu yeye mwenyewe
 
Hiyo ndo aina ya viongozi ambao wametengenezwa na chadema, anyway yule mwandishi nae lazima atakuwa chadema mwenye hasira kali dhidi yao mana sio kwa kumshindilia vile 🙌
Kwakuwa alimshindilia?
 
Chadema wote waliohamia CHAUMMA hawana akili kichwani
wenye akili ndio akina nani?

wewe ndio una akili?

buwaaaaah

sometimes u should grow up.....watu wamehama its their choice

waache waende na wewe endelea na chama chako inachosema ni kizuri na mna akili

who cares!
 
ni best orator
Ukitaka kujua si Orator, tazama mitandaoni jinsi clip yake inavyosambaa in negative way.
Ukiona Umma umechanganyikiwa, basi jua tatizo si Umma
kajieleza vizuri kabisa
Pasingekuwa na sintofahamu miongoni mwa Wananchi. Hakuweza kujieleza alichokufanya ni kuruka ruka!
Hata alipoongozwa arudi katika mstari bado hakuelewa au alijifanya hakuelewa
katoa maana ya NRNE meaning yake,tena kutoka kwenye documente ya mkakati wa hiyo kampeni
Pale anaongea na Public, siyo Kamati kuu . Hakuna mwenye interest na document, watu wanataka kusikia mahojiano. Ni rahisi tu, ku define halafu description. Hakuweza licha ya miaka kadhaa ya uenezi
nyie mnatoa meaning kwenye kichwa cha habari
Hapana! aliulizwa, kwa kiswahili NRNE inasemwaje?
ndio maana mnafeli shule,mikataba,overall dev judgements
ndio maana wakenya wanatuzidi kila siku
Hapa si shule, ni communication skills. Swali hilo hilo ukimuuliza Mkenya atalijibu hatakuelekeza katika document. Kumbuka Mrema anaongea na Public yenye uelewa tofauti . Ni wajibu wake aeleweke si yeye asubiri hadhra imuelewe. Siku zote kwa Orator wazuri, hakuna tatizo kama huelewi Watu, kuna tatizo kama Watu hawakuelewi, and that's a case for Mrema! Haelewi kwanini Watu hawana interest na document bila kujua kwamba yeye kutoeleweka ni tatizo kubwa sana.
solution ni details na sio vichwa vya habari
Huwezi kuwa na details kama huja define unataka kueleza nini, nini kusudio
amedefine vizuri na kuelezea mkakati wake kwa ndani
Watu hawana interest na mkakati hiyo ni hoja tofauti. Watu walitaka kujua hii NRNE aliyoanzisha inaelezwaje kwa lugha iliyotumika katika mahojiano. Hizo details za document zinamsaidia yeye but not for ''public consumption''
wewe kama definition shule ulifundishwa ni kubadili lugha kua lugha ingine my friend utakua maiti
Definition katika lugha iliyotumika katika mahojiano. Ndio maana mwandishi alikazia ;;kwa kiswahili''
Kupitia lugha ndipo ange define kisha kutoa ufafanunuzi. Hii habari ya document ilikuwa rubish, kwamba alikwenda Kenya it was ad hominem. Zote hizo zilikuwa dalili za kuji ng'ta ng;ata mbele ya TV! So sad Mrema!
unaambiwa "define matter".....wewe unaandika definition ya matter=maada....wrong!
definition of matter is anything which occupies space and has weight/mass....sio ukichaa wa matter=maada!
Bahati mbaya sikusoma huko sekondari. Nilichotaka ni Mrema aeleze maana aliyoulizwa
ni vituko vya karne kudhani definition ni translation ya neno toke english kwenda kiswahili
Aliulizwa afanye translation ambapo definition ingeingia automatic. Alichokifanya yeye ni kusema NRNE ni mkusanyiko wa Watu wa dini, makabila n.k. utter nonsense!
vichaa ni wengi na wewe ni mmoja wao.
Hakuna tatizo! Tunachosema hapa ni kwamba John Mrema alisimama bila nguo hadharani
Kama akili zinavaa nguo jana hakuvalisha yake! ahurumiwe ni Mume wa Mtu na Baba wa Watoto!
aliedhalilika ni mwandishi anaetaka ajibiwe majibu anayoyataka yeye badala ya anayotaka mjibuji,otherewise angejijibu yeye mwenyewe
Tunahitaji Wandisshi kama huyu, jana J Mrema alikuwa on the hook! hakuchomoa! akatuondoa doubt tuliyokuwa nayo juu yake! Umma unavyomtazama leo, ni '' innocent and freeman'' ! hakuna mwenye shaka naye tena
 
Back
Top Bottom