Yule ni shogaMtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.
Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
watanzania wengi hatuwezi kuwaza hivi.mzee baba
una akili timamu?
kampeni maana yake ni "marketing" activity ya kitu unakiuza kwa wananchi...ni literarily bidhaa unaiuza kwa wananchi wainunue
marketing hatutumii litereal meanings mkuu
na unachosema si sahihi...
kuna kitabu kinaitwa "Kuvunja Ungo"....
bila kusoma ndani huwezi jua ana maana gani haswa!
kwahiyo ujinga wa kusema eti kichwa cha habari kinabeba kila kitu ni kukoswa na akili mtupu hapo
ingekua hivyo ni kichwa cha habari watu wangekua hawasomi vitabu at all,wangekua wanasoma vichwa vya habari pekee yake
Jon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa
watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado
all this No reforms no election ni ugomvi wa tafsiri yake tu,ndio ugomvi ulipotokea,which it was not neccesary kabisa!
wewe hata hadhi ya ignorance huna,maana hadhi hiyo ukieleweshwa inaondoka...
wewe una "upumbavu"...hua hauondokagi,ni kipaji kama vipaji vingine
mkuu,vichwa vya habari havina content ya story
vichwa vya habari kazi yake ni "kukuvutia uanze kusoma story nzima" na wala sio kukupa content ya story nzima kama unavyoharisha hapa
story ina kichwa cha habari "kuvunja ungo"..
what the fvck do you get contents of the whole story kutoka kwenye hayo maneno mawili hapo?
ni maneno ya kukuvutia ili usome ujue nini hasa anamaanisha!
mkuu sera nzima inadocument yake,iliandikwa na consultant na akina Mrema waliweka inputs zao,inaeleweka document.
haisemi kuna kususia uchaguzi kwa 100%
wewe kama umetafsiri ni kususia 100% na wao wanasema document haisemi hivyo,that does not make you correct au mwenye akili sana
ni wote mna utafsiri tofauti
je ni wewe upo sahihi,document ndio itasema....ni wao wapo sahihi,document ndio itasema
kujiita mwenye akili kwa kutoa tafsiri yako si kweli una akili kama unavyowaza,ni opinion kama opinion zingine
kwa concept yako hii inaonesha literature ulipata sifuri shule!
huwezi pata content nzima ya habari kwa kichwa cha habari mkuu,your head is in deep shit!
namna hiyo basi haina haja ya kusoma story nzima sasa,which is not true!
acha kujitetea na headings mkuu
wewe ushatafsiri NRNE kama mungu wako Lissu alivyowatafsiria
mmeibeba hivyo hivyo,ni uchaguzi wenu
acha kuita wengine wajinga au wewe upo sahihi sana maana all these ni matter of tafsiri
wewe ushaenda dna tafsiri yenu acha kuipamba sana kana kwamba ndio sahihi sana na wengine sio sahihi wakati ni opinion kama wao wanavyotoa zao
kazi ya kutafsiri na kuwa convince wanachama wote nei ya viongozi cha ajabu mumeishindwa 50% tu wamewafata,another 50% wameelewa kutokana na document tena waliijenga wao wao
una blablah kama mimi ndio maana tupo hapa mimi na wewe tunafanya blah blah
cha ajabu nyani haoni kundule unajipa cheo cha kuniambia mwana blah blah mwenzio niache blah blah,who the greedy ass fucker are you?
unazidi onyesha ujinga mwingi zaidi
kufanya translation kutoka lugha moja kwenda lugha ingine hiyo inaitwa translation sio Meaning!
cha ajabu kumamayo nyie mnadhani kutoa lugha hii na kupeleka lugha ile ni meaning,sio kweli ndugu!
meaning unaipata kwa kusoma document nzima na kuelewa
sio kichwa cha habari halafu unaenda kunya,contents zingine asome nani?
ndio maana taifa limerudi nyuma wasomi wetu hawasomi vitabu wanasoma vichwa vya habari tu na kuondoka....fvck you lousy motherfvckers!
mkuuwatanzania wengi hatuwezi kuwaza hivi.
Hatusikilizi tusiowapenda ndiyo maana hatupigi hatua. Uzi mzima Mrema katukanwa tu, ikabidi nikaisikilize interview nzima... aiseee Mrema was at his best, calm and collected.. maswali mengi yalikuwa ya kuudhi sana lakini alibaki on track. Alijitahidi kutokumshambulia Mwandishi labda mara moja tu;
It was unnecessary chama kutofautiana kuhusu maana ya neno NRNE kwa context yake na kuamua kufanya "translation" na kusema hiyo ndio "meaning". Kama ulivyoieleza pia...
Halafu chama kinapigana kisa maana ya slogan... it doesnt make sense. Ego ya viongozi pia iko juu, kwa kuamini CDM haiwezi kufa. Ndiyo maana the whole movement is about showcasing mikusanyiko mikubwa (hata clips za mikutano haziendi viral sana - ambayo ndio muhinu zaidi) kwa kuwa they want to prove a point kwamba chama kiko imara na kina watu. lakini, Unategemea chama kikibwa kama CCM au CDM vife in short term???? Imagine mapokezi ya leo, kama viongozi wakirudi kesho yatakuwaje? Imagine mkutano ule ukifanyika bila viongozi wakuu wa kitaifa (yaanj uwe wa watu level ya jimbo tu) kikao kitakuwaje??Tuzungunzie impact y haya ynayoendelea in the longrun... mambo ya namna hii yalianza kui-erode NCCR, CUF na baadaye kuviua kabisa. Tusiongelee leo, tuongelee 10 years later.
safi kabisa haya ni maoni yakoHaha 😂 maelezo mengii yamejaa a lot of extra claims!!! They are nothing to do with the argument on the table.
hivi maelezo meengi ni sentensi ngapi kwa mfano?Unatumia maelezo mengii kumjibu mpumbavu. Umepanic🤣🤣
mkuu,who cares who u are?By the way am not politician: am here for the sake of purity and Kingdom of ideas (reason).
nyie ndio mnasoma vichwa vya habari mnaondoka halafu mnafeli mnaanza kuliaKichwa lazima kijifafanue chenyewe. Kwasababu unalenga watu wote na wachini pia waelewe kwasababu ya kujieleza kwake.
mkuu heading sio content ya article....ni invitation ya wewe kusoma the whole document uelewe,otherewise vitabu visingeandikwaga!The heading has to reflect it's content. Otherwise it's ignorance and Ignorance has no berier inampata hata mwenye dhamana ya kuunda sera.😂
mkuu heri utumie kiswahiliPlease go back your "Media literacy's knowledge" you will benefit a lot, you seems to be an Ignorant of this discipline.
Sio kufanya reference kutoka Kwa wale wasio na maarifa: kuleta kichwa kilicho contrary na content yake(kwenye fasihi tunaita kufeli Kwa mwandishi huko🤣). Afu upewe muda kuelezea contradictions. What the Absurd!