Ukitafsiri No Reforms No Election kwa Kiswahili utapotea.Amesemaje kwani
Mbona nyepesi tu, Hakuna mabadiliko hakuna uchaguziUkitafsiri No Reforms No Election kwa Kiswahili utapotea.
Mrema anasema ukitafsiri hivyo utapoteaMbona nyepesi tu, Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
Anataka tutafsiri vipi ili tusipoteeMrema anasema ukitafsiri hivyo utapotea
Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.
Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
Nimekutana naye mara kadhaa El Patron na Junction huko Changanyikeni - DSM, yaani baada ya sentensi zake 3 unajua tu huyu hamna kitu kichwani.Mrema ana uwezo mdogo sana, na hapo ndio unapoona madhara ya kupeana vyeo kwa kujuana.
Huyu siku akibanwa na chief Odemba atanyooka na pombe zakeMtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.