Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

hahahahha

usiombe ukaweka ktk mahojiano na hawa jamaa

1. MASOUD KIPANYA
2. CIZZA - huyo aliemuhoji mrema
3. Odemba
 
John mrema ni Mbumbumbu kilaza zuzu ni mwizi wa kisiasa Dalali wa kisiasa
 
Hii nchi ndo mana tunadharauliwa kimataifa. Tunaongozwa na watu wapuuzi haijawahi kutokea
Waliofeli darasani ndiyo viongozi sasa ndiyo maana Bishungwa huwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi chadema kwa njia haramu za kishetani
 
ni ukichaa kudhani "meaning" ya sentensi ni kuitafsiri kuipeleka lugha ingine

kutoa sentensi kutoka lugha moja kwenye ingine inaitwa "translation"

sio "meaning"

Na kampeni sio kichwa cha sentensi hapo juu,kampeni ni document nzima sio kichwa cha habari

ni kama M4C.....eti meaning yake ni kuitafsiri kutoka lugha ya kingereza kwenda kiswahili,thats stupidity to the core

Mrema kajibu kitaalamu na hakua na mihemko

watanzania ni ******* kupita maelezo kudhani eti "meaning" ya kitu ni kuitafsiri kutoka english kwenda kiswahili ndio meaning

******* kupita maelezo
 
Wewe mbweha mlevi mbwa utakuwa ni Ibirisi John mrema mwizi jambazi wa kisiasa na muumini wa vitendo haramu vya kishetani, pale kwenye interview huna jibu umetoa zaidi ya kujikanyaga kanyaga tu baada ya kutoka kuvuta bangi Ghetto kwa mzee Hashim ubwabwa
 
Johi mrema ni kijitu chenye Roho mbaya na ndicho kinaratibu mipango yote Lisu aende Jela huku nyuma wauze watu wa G55 na yeye huko Chaumaccm chama cha uvunguni mwa ccm, wizi wa pesa za walipa kodi umemlevya ndiyo maana hana fahamu kawa zuzu na kuongea ujinga ujinga mtupu
 
Kwahiyo Chadema Ilikua mazuzu?


Haha

Leo mrema mlevi, Zuzu, mara njaa

Hahaha na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…