Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

Kwahiyo Chadema Ilikua mazuzu?


Haha

Leo mrema mlevi, Zuzu, mara njaa

Hahaha na bado
Ndiyo maana kajichuja kuja kwenu njaa wenzake wezi wa pesa za walipa kodi kuuzana chauma kama matikiti, wapumbavu wote mungu kawachuja toka chadema , sasa chadema ipo safi imesalia na wapinzani wa kweli
 
Ndiyo maana kajichuja kuja kwenu njaa wenzake wezi wa pesa za walipa kodi kuuzana chauma kama matikiti, wapumbavu wote mungu kawachuja toka chadema , sasa chadema ipo safi imesalia na wapinzani wa kweli
Mimi naijua chadema

90% ya Viongozi na makada wao ni wale wale tu

Watu wa kawaida mtaani wanaipenda Chadema kwa mapenzi yao ila Viongozi wengi wakikosa nafasi chadema awatosalia

Mbowe angemshinda Lissu leo hii Lema and Lissu Co ndio wangelikua Chaumma na wengine ACT WAZALENDO

Hata hivyo Watu wengi maarufu chadema wanataka chama chao kishiriki uchaguzi mwaka huu kwa maaana wana malengo yao binafsi kisiasa
 
Kwahiyo Chadema Ilikua mazuzu?


Haha

Leo mrema mlevi, Zuzu, mara njaa

Hahaha na bado
Mzee Hashim Rungwe ajiandae kwani nyinyi mafusika akina Salum mwalimu hamchelewi kuingilia ndoa yake na pia kuwapa mimba watoto wake kama mlivyowapa mimba wale wabunge covid 19
 
Nimecheka sana..

Siyo sehemu tu, sehemu ya waandishi wa hiyo nyaraka.

Tafsiri basi 👽👽👽👽
 
Mzee Hashim Rungwe ajiandae kwani nyinyi mafusika akina Salum mwalimu hamchelewi kuingilia ndoa yake na pia kuwapa mimba watoto wake kama mlivyowapa mimba wale wabunge covid 19
Ipo hivi.

Wanasiasa uangalia nyakati bro.

Mwanasiasa mzuri ni yule anaekula na kushiba.

Akipatwa njaa ni zaidi ya Taka taka

Nakuambia ukweli Lisu angeshindwa uchaguzi angekimbia Chadema na wapambe wake.
 
Mbowe sasa ni Dalali wa siasa kapiga pesa nyingi uuzaji wa G55 kwa chauma ubwabwa na cha kushangaza ni Roho mbaya zenu mmefanya figisu ili lisu aende jela huku nyuma mhujumu chadema ambayo haijakataa uchaguzi bali wanataka Tume huru ya uchaguzi siyo Tumeccm iliyojaa uchakachuaji
 
Ujio wa Heche na Tundu Lissu umeleta mapinduzi ya kisiasa nchini
 
Ipo hivi.

Wanasiasa uangalia nyakati bro.

Mwanasiasa mzuri ni yule anaekula na kushiba.

Akipatwa njaa ni zaidi ya Taka taka

Nakuambia ukweli Lisu angeshindwa uchaguzi angekimbia Chadema na wapambe wake.
Tume huru ya uchaguzi ikiwepo ccm ni Bye bye watu hawaitaki ccm kabsa hata wakitumia Rushwa watu watakula pesa zao bure hawachagui ccm, ccm ni kama KANU ya kenya itakufa kwa Laana za maandamano ya mioyoni mwa wateswa na Bishungwa na Polisiccm ambao sasa waonevu wanyanyasaji wa wazi kwa chadema
 
Mrema ni Mlevi sana, siku hizi kaacha kunywa mbege kaamua kunywa Gongo na Nyagi na ndio maana ukimuangalia tu sura yake ni ya kilevi.
Huyu bwana ni classmate wangu. UDSM ana akili ndogo kwelikweli . Walah hajui hata kujibu maswali?
Mrema nakuhurumia
 
Kichwa kinapaswa kubeba picha nzima ya content (kichwa ndio summary ya content) sio vinapingana. Usomi pia ni uwezo wa kutafsiri content yako iliyo complex as simple as normal people could understand.

Ukisoma play ya "Three suitors: One husband" unaona kabisa fully presentation of the whole content only in four words.
 
Kumbe ndio maana yalitokea yaliyotokea.
Kile kichwa ni cha kufugia nywele tuh.
Wanawake wana kazi, imagine mwanamke ameolewa na mtu kama yule halafu itokee hana hela.
 
mkuu

una kichaa?

funza kama funza

unagawa majina tu hovyo

brother ndio maana chadema inakufa sababu za childish emotions kama hizi

umetukana the whole post nimetafuta rebuttal za hoja zangu kwa tochi sioni

kama unaenda kwenye matusi bro tunayaweza,kua clear motherfucker!
 
mzee baba

una akili timamu?

kampeni maana yake ni "marketing" activity ya kitu unakiuza kwa wananchi...ni literarily bidhaa unaiuza kwa wananchi wainunue

marketing hatutumii litereal meanings mkuu

na unachosema si sahihi...

kuna kitabu kinaitwa "Kuvunja Ungo"....

bila kusoma ndani huwezi jua ana maana gani haswa!

kwahiyo ujinga wa kusema eti kichwa cha habari kinabeba kila kitu ni kukoswa na akili mtupu hapo

ingekua hivyo ni kichwa cha habari watu wangekua hawasomi vitabu at all,wangekua wanasoma vichwa vya habari pekee yake

Jon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa

watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado

all this No reforms no election ni ugomvi wa tafsiri yake tu,ndio ugomvi ulipotokea,which it was not neccesary kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…