Nimezungumzia uandishi Kwa ujumla. Heading inabeba content hata iwe Kwa lugha ya picha haijalishi inalenga nini. Vinginevyo ni Ignorance and Ignorance has no boundaries inawapata hata wale walio na dhamana ktk jamii. Na dhamana Yao haijustify ignorance Yao kuwa halali 😫mzee baba
una akili timamu?
kampeni maana yake ni "marketing" activity ya kitu unakiuza kwa wananchi...ni literarily bidhaa unaiuza kwa wananchi wainunue
marketing hatutumii litereal meanings mkuu
na unachosema si sahihi...
kuna kitabu kinaitwa "Kuvunja Ungo"....
bila kusoma ndani huwezi jua ana maana gani haswa!
kwahiyo ujinga wa kusema eti kichwa cha habari kinabeba kila kitu ni kukoswa na akili mtupu hapo
ingekua hivyo ni kichwa cha habari watu wangekua hawasomi vitabu at all,wangekua wanasoma vichwa vya habari pekee yake
Jon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa
watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado
all this No reforms no election ni ugomvi wa tafsiri yake tu,ndio ugomvi ulipotokea,which it was not neccesary kabisa!
wewe hata hadhi ya ignorance huna,maana hadhi hiyo ukieleweshwa inaondoka...Nimezungumzia uandishi Kwa ujumla. Heading inabeba content hata iwe Kwa lugha ya picha haijalishi inalenga nini. Vinginevyo ni Ignorance and Ignorance has no boundaries inawapata hata wale walio na dhamana ktk jamii. Na dhamana Yao haijustify ignorance Yao kuwa halali 😫
mkuu sera nzima inadocument yake,iliandikwa na consultant na akina Mrema waliweka inputs zao,inaeleweka document.Wenye akili timamu ndio Sasa Wana actualize kile kinachomaanishwa kwenye hiyo sera Yao.
kwa concept yako hii inaonesha literature ulipata sifuri shule!Hizo ni blabla. you need only a single minute is enough to express your content from it's heading only.
acha kujitetea na headings mkuuUkiona unashindwa jua hamna kitu hapo. Hatuhitaji maelezo mengi tena yanayojipinga na kichwa.
una blablah kama mimi ndio maana tupo hapa mimi na wewe tunafanya blah blahAcha ujuaji na blabla we don't have time to hire nonsenses🤣.
unazidi onyesha ujinga mwingi zaidiAcha kujificha kwenye tafsiri. Ilihitajika kiswahili kwasababu ndio lugha ya hadhira Wala si kukwepesha maana.
Mrema alitakiwa anyooshe maneno...Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.
Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
Hapo CCM ndipo walipoenda kuwekeza mabilion kuivuruga Chadema!🤣🤣Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema.
Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi.
Kuliko njia ile ni heri kuishi kama wale omba omba wa Ubungo angalau unakuwa kauli mbele ya jamii. Anaishi kigumu sana.
Hivi ni nini kile? Nimemsikiliza mpaka nikalewa njwiiiiii asubuhi hii. Kama hujawahi kulewa maneno basi nenda kaangalie hiyo video.
Kama huwezi ku 'define'' kitu unawezaje kukitolea ufafanuzi! Tusaidie kuelewa tafadhaliJon Mrema katoa ufafanuzi sahihi kabisa
Mrema alitakiwa kwanza afanye translation , hakufanya. Pili, alitakiwa aeleze maana halisi (meaning) hakufanya! kisha afanye analysis! Hakufanya.Watanzania ni so stupid wanadhani "meaning" maana yake ni kubadili sentensi toka english kwenda kiswahili,wakati hiyo inaitwa "translation" ambapo meaning ni bado
isa!
Tungepata clip mkuu🤣Mrema kanjanja mtupu, Ameshindwa kutafsiri No Reforms No Election kwa Kiswahili amebaki anaruka ruka tu kama maharage ambayo hayajaiva jikoni.
hapanaMrema alitakiwa kwanza afanye translation , hakufanya. Pili, alitakiwa aeleze maana halisi (meaning) hakufanya! kisha afanye analysis! Hakufanya.
unafanyeje NRNE bila kua na makundi yote kama alliance?Kusema NENR ni kukusanya watu wa makundi mbali mbali ni kichekesho na imedhalilisha sana! Kama akili zina nguo, yeye alivua nguo inayositiri akili yake.
wote ni politicians,kuanzia Lissu na kila mtu kwenye camp yenu.....''Career politician'' anaposhindwa kujibu swali rahisi, imemdhalilisha sana!
Kuna politician na Career politician, Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya uenezi CHADEMAhapana
kufanya translation sio kazi yake
ni kazi ya professional translators sio yake wala yako
pili,transalations za kupeleka wapi wakati watz oficial language yetu ni kingereza?
wananchi hawajui kingereza,wamekuambia lini?
wanazungumza kiswahili yes,ila hawajawahi sema hawajui kingereza
kitu kibaki kwenye original language yake,na hata kutafsiri ni kwa certified professionals wa translations ndio wafanye
na translation sio meaning...meaning ya ile kauli mbiu na mpango wa kuutekeleza mpaka mwisho upo kwenye document ya mkakati,hakuna mahali mkakati umesema kususia uchaguzi
nyie mmetafsiri kususia,which is okay,susiaeni its your own choice,ndio maana wameenda pengine ambao hawasusi..sioni tatizo
unafanyeje NRNE bila kua na makundi yote kama alliance?
una malaria ya hali ya juu kudhani chadema pekee yake ndio wanaweza fanikisha NRNE.....
maana usipokua na alliance wengine wanafanya wanavyojua wao which beats the meaning of what you want!
ndio tatizo la nyie na akina LIssu,akiambiwa shirikiana na ACT yeye anajibu "ili iweje" as if anaweza endesha NRNE bila vyama vingine 17 na taasisi zingine,HUWEZI
strategic alliances ni kitu muhimu,ila mungu wenu Lissu na nyie mnadhani chadema inaweza yenyewe nyie kama nyie,fools!
wote ni politicians,kuanzia Lissu na kila mtu kwenye camp yenu.....
Hakuweza kujibu! na kama alijibu alibaki kujiuma uma! ni dhalili sana ! mpaka namuonea hurumaMrema kajibu kwa usahihi kabisa hakuna alipokosea
Hapana hakuna emotion, kuna hoja.kwsababu mna emotions za ajabu sana,hamuoni hoja mnaona matusi ndio cha maana...which does not make any sense
Hapa ndipo unakosea. Professional translator ana mahali pake hasa katika eneo linaloweza kuwa na tatizo la kisheria. Mfano, nyaraka au kauli za kisheria na Kitabibu n.k.yaani how do you fault a normal politician kwa kazi ya ku translate sentensi moja kutoka lugha moja kwenda ingine as yeye ni professional translator?
Kuna sababu kwanini mwandishi alimuuliza, na kuna sababu kwanini Mrema alikwepa.na meaning ya ile kampeni huipati kwenye kutranslate ndio maana alikwambia kabisa "utapotea" kama unaenda kutafuta meaning kwenye translation la lugha
Si ndogo kuliko ya Mrema! huyu amejipaka kinyeshi mbele ya TV! so sad.shida yenu akili zenu ndogo sana
lema,heche,mbowe,lissu,etc hawa wanafanya siasa mwaka wa 30 huuKuna politician na Career politician, Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya uenezi CHADEMA
alijibu kwa usahihiHakuweza kujibu! na kama alijibu alibaki kujiuma uma! ni dhalili sana ! mpaka namuonea huruma
hakuna hojaHapana hakuna emotion, kuna hoja.
mkuuHapa ndipo unakosea. Professional translator ana mahali pake hasa katika eneo linaloweza kuwa na tatizo la kisheria. Mfano, nyaraka au kauli za kisheria na Kitabibu n.k.
Mrema alikuwa mwenezi lazima ajue kanuni za ''communication'' . Kwamba anapoongelea NRNE anaongea na public hivyo lugha yake inatakiwa iakisi audience yake.
Ikiwa hawezi ku define anachokieleza hiyo ni failure . Kwa maneno mengine hawezi ku communicate!
sababu ya mwandishi kuuliza translation ni ya ujingaKuna sababu kwanini mwandishi alimuuliza, na kuna sababu kwanini Mrema alikwepa.
Kama hakukwepa huyu atakuwa bubusa sana, of course ni bubusua but to what extent! hilo ndilo swali
Mbowe ni mfanyabiashara, Lissu alikuwa Mwanasheria ndipo alipoanzia siasa. Lema ni Mfanyabiasharalema,heche,mbowe,lissu,etc hawa wanafanya siasa mwaka wa 30 huu
Definition ya kitu kwanza, halafu meaning inafuata. Mrema anasema NRNE maana yake ni kukusanya Watu wa makundi mbali mbali!! umeelewa nini hapo?mwandishi ndio akili ndogo kama wewe kudhani meaning inapatikana kwenye translations za lugha badala ya kusoma document na kuelewa mkakati ulivyo
Uisghadhabike! Taifa lina tatizo kwa kuwa na viongozi kama Mrema! mtu asiweza ku define anachokielezataifa linarudi nyuma kwenye mikataba na vitu vingine kwa watu wajinga kama nyie mnaosoma vichwa vya habari vya mikataba!bure kabisa
Hapana hayupo miongoni mwa Orator. Moja ya sifa ya Orator ni effective communication akienda pamoja na audience.mrema ni best communicator na orator hana kelele na wala hana mihemko anaongea kwa utulivu na kwa lugha sahihi na misamiati sawia kabisa
Sijaipitia!document ya kampeni ya M4C uliipitia na kuisoma zamani zile?
M4C ni lugha ya kingereza,hakuna hata siku moja mtu yeyote alishaomba hii itafsiriwe iende kwenye kiswahili
ila kampeni ilifanyika vizuri according to the document ya mkakati
Hakuna aliyejua kuna document, watu wanataka kujua NRNE kwa lugha ya kiswahili ni kitu gani? definition kwanza ili atoe maelezo. Definition na description ni vitu tofauti, of course hakuwa na hata kimoja zaidi ya kujiuma uma! It was pathetic the least to say. Muonee huruma, huyu ni Mume wa Mtu na Baba! Anapokuwa katika public katika hali ile anahitaji huruma, please !hii NRNE leo eti kuna vichaa wanataka itafsiriwe iwe kiswahili kwanza which will lose all its meaning to suit them
Hapana! alichotakiwa ni ku define, hakuweza. Alifanikiwa kujiuma uma! so sadkuanza kuwa judge eti nyie ndio mna akili sana wao hawana akili wakati ni meanings mbili kila mmoja kachague yake ni aina fulani ya ukichaa
Mwandishi ni 'brilliant'' alitaka definition ili Mrema ajibu yanayofuata! Mrema akajiuma uma !sababu ya mwandishi kuuliza translation ni ya ujinga
Ni wajibu wa Mrema kumwelesha. Pa kuanzia ni pale pa definition ambapo mwandishi hakujuamwandishi ishu yenyewe haielewi
Mwandishi alitaka kujua, kwa kiswahili NRNE inatafsiriwa vipi, hakuhitaji maelezo ya Makuweni Kenyawakati yeye meaning yao wanaipata kwenye document na sio language translation
Hapana hatujadili watu tunajadili hoja za watu.kichaa tu yule kama nyie wafuasi wa Lissu mlivyo vichaa
Mrema ni mfanyabiashara na mkulimaMbowe ni mfanyabiashara, Lissu alikuwa Mwanasheria ndipo alipoanzia siasa. Lema ni Mfanyabiashara
Heche alikuwa Mwalimu. Kigaila, Mrema na Salum ni career politician ndicho kilichowakimbiza.
ni best oratorHapana hayupo miongoni mwa Orator. Moja ya sifa ya Orator ni effective communication akienda pamoja na audience.
Leo Umma umetaharuki kwasababu haukumwelewa Mrema, huyo hawezi kuwa Orator.
Jana alionekana kama mtoto anayejifunza kuongea! ba ba, ma , mmna da.! Tazama video utamuonea huruma. Mara ya kwanza nilitaharuki lakini sasa namuonea huruma! Anatafuta mkate, dhalili si muhimu!
kajieleza vizuri kabisaHakuna aliyejua kuna document, watu wanataka kujua NRNE kwa lugha ya kiswahili ni kitu gani? definition kwanza ili atoe maelezo. Definition na description ni vitu tofauti, of course hakuwa na hata kimoja zaidi ya kujiuma uma! It was pathetic the least to say. Muonee huruma, huyu ni Mume wa Mtu na Baba! Anapokuwa katika public katika hali ile anahitaji huruma, please !
amedefine vizuri na kuelezea mkakati wake kwa ndaniHapana! alichotakiwa ni ku define, hakuweza. Alifanikiwa kujiuma uma! so sad
ni vituko vya karne kudhani definition ni translation ya neno toke english kwenda kiswahiliNi wajibu wa Mrema kumwelesha. Pa kuanzia ni pale pa definition ambapo mwandishi hakujua
Mrema kaingia na kujiuma uma! so sad. Huyu jamaa kadhalilika sana
mrema yupo sahihiMwandishi alitaka kujua, kwa kiswahili NRNE inatafsiriwa vipi, hakuhitaji maelezo ya Makuweni Kenya
Badala ya kufanya mawasiliano yeye akaanz kutueleza kikao cha Makuweni, hakujibu hoja.
Disaster! amedhalilika sana
wale kunguni wa mbowe kichwani zero kana kama baba yaoMrema kanjanja mtupu, Ameshindwa kutafsiri No Reforms No Election kwa Kiswahili amebaki anaruka ruka tu kama maharage ambayo hayajaiva jikoni.
wenye akili ndio akina nani?Chadema wote waliohamia CHAUMMA hawana akili kichwani
Ukitaka kujua si Orator, tazama mitandaoni jinsi clip yake inavyosambaa in negative way.ni best orator
Pasingekuwa na sintofahamu miongoni mwa Wananchi. Hakuweza kujieleza alichokufanya ni kuruka ruka!kajieleza vizuri kabisa
Pale anaongea na Public, siyo Kamati kuu . Hakuna mwenye interest na document, watu wanataka kusikia mahojiano. Ni rahisi tu, ku define halafu description. Hakuweza licha ya miaka kadhaa ya uenezikatoa maana ya NRNE meaning yake,tena kutoka kwenye documente ya mkakati wa hiyo kampeni
Hapana! aliulizwa, kwa kiswahili NRNE inasemwaje?nyie mnatoa meaning kwenye kichwa cha habari
Hapa si shule, ni communication skills. Swali hilo hilo ukimuuliza Mkenya atalijibu hatakuelekeza katika document. Kumbuka Mrema anaongea na Public yenye uelewa tofauti . Ni wajibu wake aeleweke si yeye asubiri hadhra imuelewe. Siku zote kwa Orator wazuri, hakuna tatizo kama huelewi Watu, kuna tatizo kama Watu hawakuelewi, and that's a case for Mrema! Haelewi kwanini Watu hawana interest na document bila kujua kwamba yeye kutoeleweka ni tatizo kubwa sana.ndio maana mnafeli shule,mikataba,overall dev judgements
ndio maana wakenya wanatuzidi kila siku
Huwezi kuwa na details kama huja define unataka kueleza nini, nini kusudiosolution ni details na sio vichwa vya habari
Watu hawana interest na mkakati hiyo ni hoja tofauti. Watu walitaka kujua hii NRNE aliyoanzisha inaelezwaje kwa lugha iliyotumika katika mahojiano. Hizo details za document zinamsaidia yeye but not for ''public consumption''amedefine vizuri na kuelezea mkakati wake kwa ndani
Definition katika lugha iliyotumika katika mahojiano. Ndio maana mwandishi alikazia ;;kwa kiswahili''wewe kama definition shule ulifundishwa ni kubadili lugha kua lugha ingine my friend utakua maiti
Bahati mbaya sikusoma huko sekondari. Nilichotaka ni Mrema aeleze maana aliyoulizwaunaambiwa "define matter".....wewe unaandika definition ya matter=maada....wrong!
definition of matter is anything which occupies space and has weight/mass....sio ukichaa wa matter=maada!
Aliulizwa afanye translation ambapo definition ingeingia automatic. Alichokifanya yeye ni kusema NRNE ni mkusanyiko wa Watu wa dini, makabila n.k. utter nonsense!ni vituko vya karne kudhani definition ni translation ya neno toke english kwenda kiswahili
Hakuna tatizo! Tunachosema hapa ni kwamba John Mrema alisimama bila nguo hadharanivichaa ni wengi na wewe ni mmoja wao.
Tunahitaji Wandisshi kama huyu, jana J Mrema alikuwa on the hook! hakuchomoa! akatuondoa doubt tuliyokuwa nayo juu yake! Umma unavyomtazama leo, ni '' innocent and freeman'' ! hakuna mwenye shaka naye tenaaliedhalilika ni mwandishi anaetaka ajibiwe majibu anayoyataka yeye badala ya anayotaka mjibuji,otherewise angejijibu yeye mwenyewe
Hakumuacha apumue ht Kidogo 🙌Kwakuwa alimshindilia?