Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

Mleta Uzi kashindwa kuleta link na sisi tulewe, inasikitisha sana
 
Mungu akiamua kukuumbua sio kwamba atakupiga muhuri. Ni vitu kama hivi.
Kumbukeni pia hata yanayomkuta Samia ni unabii. Kuna watu walishatabiri na yeye anapita humohumo
 
Yule ni shoga
 
watanzania wengi hatuwezi kuwaza hivi.

Hatusikilizi tusiowapenda ndiyo maana hatupigi hatua. Uzi mzima Mrema katukanwa tu, ikabidi nikaisikilize interview nzima... aiseee Mrema was at his best, calm and collected.. maswali mengi yalikuwa ya kuudhi sana lakini alibaki on track. Alijitahidi kutokumshambulia Mwandishi labda mara moja tu;

It was unnecessary chama kutofautiana kuhusu maana ya neno NRNE kwa context yake na kuamua kufanya "translation" na kusema hiyo ndio "meaning". Kama ulivyoieleza pia...

Halafu chama kinapigana kisa maana ya slogan... it doesnt make sense. Ego ya viongozi pia iko juu, kwa kuamini CDM haiwezi kufa. Ndiyo maana the whole movement is about showcasing mikusanyiko mikubwa (hata clips za mikutano haziendi viral sana - ambayo ndio muhinu zaidi) kwa kuwa they want to prove a point kwamba chama kiko imara na kina watu. lakini, Unategemea chama kikibwa kama CCM au CDM vife in short term???? Imagine mapokezi ya leo, kama viongozi wakirudi kesho yatakuwaje? Imagine mkutano ule ukifanyika bila viongozi wakuu wa kitaifa (yaanj uwe wa watu level ya jimbo tu) kikao kitakuwaje??Tuzungunzie impact y haya ynayoendelea in the longrun... mambo ya namna hii yalianza kui-erode NCCR, CUF na baadaye kuviua kabisa. Tusiongelee leo, tuongelee 10 years later.
 

Haha 😂 maelezo mengii yamejaa a lot of extra claims!!! They are nothing to do with the argument on the table.

Unatumia maelezo mengii kumjibu mpumbavu. Umepanic🤣🤣

By the way am not politician: am here for the sake of purity and Kingdom of ideas (reason).

Kichwa lazima kijifafanue chenyewe. Kwasababu unalenga watu wote na wachini pia waelewe kwasababu ya kujieleza kwake.

The heading has to reflect it's content. Otherwise it's ignorance and Ignorance has no berier inampata hata mwenye dhamana ya kuunda sera.😂

Please go back your "Media literacy's knowledge" you will benefit a lot, you seems to be an Ignorant of this discipline.
Sio kufanya reference kutoka Kwa wale wasio na maarifa: kuleta kichwa kilicho contrary na content yake(kwenye fasihi tunaita kufeli Kwa mwandishi huko🤣). Afu upewe muda kuelezea contradictions. What the Absurd!
 
mkuu

slogan inatumika tu,kuna ugomvi deeper than that

na ugomvi ni uchaguzi power shift ilipofanyika

namlaumu zaidi Lissu.....

yeye kachukua uongozi ilikua hakuna haja ya kugombana na camp ingine...angeipromise wanachotaka hata kama ni kwa udanganya to borrow time and their loyality

Lissu handled this the wrong way...he went total ape shit

Mrema was perfect kwenye hiyo interview,any smart person will see!

kwavile kuna camp 2,ni lazima watatukana tu,which is okay!

Zitto nae alitukanwa sana,alipoanza kupata mafanikio matusi yaliisha na sasa wanamuogopa he san unseat chadema very soon

achana na hawa Lissu fanatics hapa....wanatukana ndio kazi yao
 
Haha 😂 maelezo mengii yamejaa a lot of extra claims!!! They are nothing to do with the argument on the table.
safi kabisa haya ni maoni yako

which is okay

but real recognize real
Unatumia maelezo mengii kumjibu mpumbavu. Umepanic🤣🤣
hivi maelezo meengi ni sentensi ngapi kwa mfano?

na maelezo machache ni sentensi ngapi kwa mfano?

tupe idadi

all these nonsenses unazotoa hapa ni maoni matupu,no FACTS!

By the way am not politician: am here for the sake of purity and Kingdom of ideas (reason).
mkuu,who cares who u are?

we are all internet characters here,nobody knows nobody

plus nobody wants to know you or what u do for a living!

sijui kingdom of ideas and blah blah..ideas matusi ndio ideas?

fvck outta here!

Kichwa lazima kijifafanue chenyewe. Kwasababu unalenga watu wote na wachini pia waelewe kwasababu ya kujieleza kwake.
nyie ndio mnasoma vichwa vya habari mnaondoka halafu mnafeli mnaanza kulia

hatuko hapa kwa ajili ya mtu wa chini

hakuna mtu wa chini,mtu wa chini umemjenga wewe kwenye ubongo wako

hakuna mtz aliwahi kuja kwako na kusema yeye ni mtu wa chini

stop imaginaries!

msomi kama wewe upo hadi JF ukisema unasoma vichwa vya habari ni insult to humanity
The heading has to reflect it's content. Otherwise it's ignorance and Ignorance has no berier inampata hata mwenye dhamana ya kuunda sera.😂
mkuu heading sio content ya article....ni invitation ya wewe kusoma the whole document uelewe,otherewise vitabu visingeandikwaga!

mkuu heri utumie kiswahili

kingereza kibovu sana hiki

mimi mfuasi wa Mrema,wew mfuasi wa Lissu,tunatofauti gani?

u cant talk about knowledge mtu unaesoma vichwa habari na kuondoka....have no such authority ya ku lecture me on that!

who the fvck are you?mende wa maziwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…